Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
True...Japanese car yoyote ile ambayo ipo designed specifically for Europe or North America dash yake kusoma zaidi ya 180 ni Jambo la kawaida.Pia tafuta toyota makes za ulaya uone dashboards zake kama hazilingani na hao kina bmw benz audi na vw
Sisi gari nyingi tunanunua mtumba kutoka japan na ndiyo maana zinaishia 180 kulingana na sheria zao..
Lakini chonde chonde ndugu zangu nawasihi bongo bado sijaona barabara ya kumaliza dash...ni kifo..
bado nawapenda vijana wenzangu.