i know all this ....what i was trying to explain ni wasidanganywe na dash coz mfano audi unakuta A4 zote mfano hizi za 2000-2006 zina dash reading sawa but kama unavojua zinakuja na engine kibao mfano za petrol zimeanzia 1.6L had 4.2V8 za diesel zikaanzia 1.9L had 2.5L TDV6 ambazo za diesel mfano hiyo ya 1.9L ina anzia 100hp had 130hp ....lakini ambacho audi wamekifanya hapo hamna utofauti wa dash kati ya zile v8 na hizi za cc na hp za kina premio zetu huku ...nikimaanisha zote zina dash ya 260kph so usiwe na ki audi A4 cha diesel cha 190hp ukadhan unafika 260 NO big NO haifiki hapo hata road iweje hiyo 260 wanaonja kirahisi wale wa petrol kama hiyo version yenye V8 au zile v6 with more than 230hp