Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Yule jamaa yupo bhana, sema nyi kila mkiona clip ya markx iko mang'anya mna refer kwa mchizi. Chalii kwao moro na yupo freshi tu anapiga kazi.
Extrovert u namkumbuka yule jamaa wa Mark x huku arusha maeneo ya usa river mwaka jana mwezi November? yule alikuwa anafanya bandarini? Ile gari haikuokotwa kit uh chochote...hizo speed zinaua
 
Dah jamaa walikufa vibaya sana wale maspidi kwa barabara zetu, magari mitumba, madereva wasio na uzoefu wa kutosha, madereva wasio na defensive driving skills ni janga kubwa mno halafu sometime kupenda ligi nayo ni issue kuna watu wakiwa road no kupitwa, na akipitwa tu anaanza ligi hata kama mazingira hayaruhusu
 
Mkuu nissan gani ulidrive fuga, xtrail au.....
 
Noted
 
Mwendo wangu wa mwisho kabisa ni 120 Km/hr na si zaidi ya hapo...kwenye 50 kph ni 50 ...bora nichelewe aisee..ila ukitaka ligi na nikikuona nakumudu basi ligi utaipata 😀😀
 
Usiseme magari ambayo watanzania tunaendesha ni toyota, wako wengi tu wanaendesha VW, bmw, Subaru etc. Kwa kuwa wewe huendeshi hayo sio wote
 
Hii ingeshaleta matatizo kwa walaji, ulaya sio bongo mkuu
 
Usiseme magari ambayo watanzania tunaendesha ni toyota, wako wengi tu wanaendesha VW, bmw, Subaru etc. Kwa kuwa wewe huendeshi hayo sio wote
Bora umemsahihisha.Siku hizi watanzania wanaendesha magari mengi ya kijapani kama vile Nissan,Subaru,Suzuki,Honda,Mazda nk..
pia magari yakimarkani kama Ford na Chevrolet...
Sasa watu wamekariri Toyota.
I am a fan of Nissan na ninaenjoy ulimwengu wa Nissan
 
unaongelea 3S yenye hp ngap labda maana 3S ipo sokoni kitambo na kuna toleo kama 5 au sita hivi mfano ya 90 had 99 ina hp 170 while 3GR ina 228hp na mwenzake 4GR ana 210+
Watu wanashindwa kuelewa kuwa Toyota speedometer zimekuwa speed governed kuishia 180kph kulingana na sheria za Japan ila haimaanishi zinashindwa kusogea mpaka kwenye hizo speed za 280kph.

Mi nshaona LHD Lexus mayai rx350 kama hizi zilizozagaa bongo ila yenyewe ya soko la Canada ina speed ya 260kph sasa mtu anasemaje Toyota hawezi ku achieve hizo speed? Toyota yoyote kwa soko la ulaya lazima utaikuta ina speed zaidi ya 180kph same kama hizo VW, Benz ama Bmw

Mfano mwingine mzuri ni Vx v8 ambazo ndio gari zilizokuja na speed ya 260kph straight from Japan hata bongo zipo nyingi tu.
 
Yeah yule namkumbuka bro, waliokota kitambulisho tu aisee wacha mchezo na 4GR. Halafu nafikiri mark x itakuwa inatumia mfumo tofauti wa kuchange gears. Huwa inachanganya haraka sana.
Extrovert u namkumbuka yule jamaa wa Mark x huku arusha maeneo ya usa river mwaka jana mwezi November? yule alikuwa anafanya bandarini? Ile gari haikuokotwa kit uh chochote...hizo speed zinaua
 
Kaka hizi six cylinders huwezi kufananisha na magari yetu haya ya 4 cylinders hata kama utakuwa dereva bora hutaweza kushinda na mwenye six
Kama mtu wa kusafiri utafurahia SAFARI yako ukiwa na six cylinders
Kuna kitu watu wengi hamkielewi kinachofanya gari kwenda speed ni transmission, kuna Toyota corolla ina CC1700 na ni four cylinder hiyo mnayoita brevis sijui crown zenye six zikasome,
Hiyo kitu kumaliza speed 240 ni kama kumsukuma mlevi,iki nyooka imenyooka
 
Same moshi mimi nilitembea na noah 4wd 120speed
 
Yeah yule namkumbuka bro, waliokota kitambulisho tu aisee wacha mchezo na 4GR. Halafu nafikiri mark x itakuwa inatumia mfumo tofauti wa kuchange gears. Huwa inachanganya haraka sana.
Eneo walilopatia ajali naishi jirani...kila nikipita hapo nikiona ule mti waliounga nasisimka....kila nikiona mark x nasisimka...dah...
Nadhani zile gari zina injini kubwa na powerful kuliko uwezo wa body
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…