Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

3sge ina nini cha ajabu sasa? so unataka kusema NOAH na ALTEZZA ni yaleyale? maana 3sge inakaa ktk NOAH pia..
uwe unauliza kwanza mzee NOAH ina 3s fe na ALTEZZA ina 3s ge..tofauti ni kubwa sana mzee..3s ge ni engine powerful
 
Kwa kukusaidia tu HAKUNA CROWN YENYE INJINI YA 1JZ WALA 2JZ bali CROWN ATHELETE ina INJINI ZIFUATAZO 2GR, 3GR na 4GR... Hizo zenye 1JZ na 2JZ ni Brevis na Mark II Grande yenye 2JZ tu OVER
Zipo mkuu
 
mzee 3s fe naijua ni kwenye noah na rav 4 masawe
3s ge naijua ni alteza tu kama kuna gari ingine ni modification tu
3s gte ni celica supra na baadhi ya caldina mzee
halafu alteza nimemiliki ya 1g fe na ya 3sge kwaio nafahamu sana hizi mashine


3sge dual vvti beams
(It made 210 PS (154 kW; 207 hp) at 7,600 rpm)
 
usijaribu siku ingine utapasua hako ka engine ya hiyo bebi woka yako ukikutana na jamii ya hizo gari na wenzie wenye mwendo paki pembeni wapishe ndiyo urudi road
 

Nakuomba uifatilie vizuri SUPRA... alaf urudi urekebishe comment yako
 
Ford sina uzoefu nazo.. ila kama unajiweza fresh tu.. tena nakuombea mungu upate Crown yenye 2jz.. swapped maana utakuwa unaniazima siku moja moja
Hee nimesahau kusema "amen" kwa uliyotamka...ee mwenyezi Mungu napokea kwa imani kutoka kwako naomba nikabarikiwe,.

Ahsante braza-kaka[emoji120]Mungu akubariki naww!!!!
 
Hasa engine ya brevis na Crown zinatofauti gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…