Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
WW NDIO UNATAKIWA UWE NA AKILI NA UACHE UBISHI USIO NA MAANA.mavi kuwa na akil basi ...nimesema nyingi sijasema zote acha ubish usio na maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WW NDIO UNATAKIWA UWE NA AKILI NA UACHE UBISHI USIO NA MAANA.mavi kuwa na akil basi ...nimesema nyingi sijasema zote acha ubish usio na maana
Carina yenye 3s inaitwa Carina GTcarina ti yenye 3sge iko mbinguni boss
uwe unauliza kwanza mzee NOAH ina 3s fe na ALTEZZA ina 3s ge..tofauti ni kubwa sana mzee..3s ge ni engine powerful3sge ina nini cha ajabu sasa? so unataka kusema NOAH na ALTEZZA ni yaleyale? maana 3sge inakaa ktk NOAH pia..
carina gt ina 3s fe mzee sio geCarina yenye 3s inaitwa Carina GT
Zipo mkuuKwa kukusaidia tu HAKUNA CROWN YENYE INJINI YA 1JZ WALA 2JZ bali CROWN ATHELETE ina INJINI ZIFUATAZO 2GR, 3GR na 4GR... Hizo zenye 1JZ na 2JZ ni Brevis na Mark II Grande yenye 2JZ tu OVER
mzee 3s fe naijua ni kwenye noah na rav 4 masawekuna 3SGE na 3SGTE ... inapaswa uelewe.. ikiwa STOCK itahangaika saaaana itatoa
110 kW (150 HP) at 6,000 rpm........
huwez fananisha na 2jz inayotoa OUTPUT 169 kW (230 HP) at 6,000 rpm.........
ALAF siku nyingine unavyozungumzia ALTEZZA uwe makini sana...
usijaribu siku ingine utapasua hako ka engine ya hiyo bebi woka yako ukikutana na jamii ya hizo gari na wenzie wenye mwendo paki pembeni wapishe ndiyo urudi roadMoja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama
Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye mwinuko kidogo huku nikijiona mimi ni bingwa barabarani niliiona gari likija kwa nyuma yangu kwa kasi sana ilikuwa kama mita 130 nyuma yangu basi nikasema haiwezekani nikapitwa kijinga kiasi hicho nikachochea moto nikafikisha speed 125 hivi.....sasa nilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.
Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti lakini niliambulia patupu
Hizi crown ni gari za safari ingawa inameza mafuta kama jini ila ni chombo cha maana nami namuomba mungu huku nikijichanga nichukue hii ndinga
Hongereni wote mnaoendesha athletes crown au mnaomiliki hii ndinga hakika hamjakosea
Zipo mkuu
navyojua na nilizoziona kwa macho yangu ni 3sGE na 3sGTE hiyo 3sFE siijui labda leo niongeze maarifacarina gt ina 3s fe mzee sio ge
mzee 3s fe naijua ni kwenye noah na rav 4 masawe
3s ge naijua ni alteza tu kama kuna gari ingine ni modification tu
3s gte ni celica supra na baadhi ya caldina mzee
halafu alteza nimemiliki ya 1g fe na ya 3sge kwaio nafahamu sana hizi mashine
3sge dual vvti beams
(It made 210 PS (154 kW; 207 hp) at 7,600 rpm)
bei ndogo tu subir wanaojua bei halisi..Naombeni bei ya hii ndiga wajameni...
Bei ndogo[emoji4]...haya ngoja nisubiribei ndogo tu subir wanaojua bei halisi..
Bei ndogo[emoji4]...haya ngoja nisubiri
Inazidi speed ya ford ranger T6..!?? Speed ndio napenda teh teh...Tena Agiza JAPAN... sas ww si SHE? unaweza SPEED mama?
Inazidi speed ya ford ranger T6..!?? Speed ndio napenda teh teh...
Pochi babaa pochiii[emoji23][emoji23][emoji23]Ford sina uzoefu nazo.. ila kama unajiweza fresh tu.. tena nakuombea mungu upate Crown yenye 2jz.. swapped maana utakuwa unaniazima siku moja moja
Uliwezaje kupiga huku unaendesha kwa speed hiyo?Kuna watoto walikuwa na Alteza hawakujua kama huu moto ni hatari niliwapita na kuwatumia hii picha hawakujaribu tena kufuata.View attachment 783802
Hee nimesahau kusema "amen" kwa uliyotamka...ee mwenyezi Mungu napokea kwa imani kutoka kwako naomba nikabarikiwe,.Ford sina uzoefu nazo.. ila kama unajiweza fresh tu.. tena nakuombea mungu upate Crown yenye 2jz.. swapped maana utakuwa unaniazima siku moja moja
Hasa engine ya brevis na Crown zinatofauti gani?Sasa kwa hiyo carina yako hata ungekutana na ist ungesanda tu sembuse hiyo crown babu?
Labda ungesema ulikuwa na verosa, macX, gx100/110, alterza halafu ukapitwa na crown sawa ningekuona hujui kukimbizana road
Sasa ungekutana na mnyama mwenyewe Brevis si ungeingia maporini kwa upepo wake mana ile gari ikikupiga inakupa kikumbo cha upepo kama gari kubwa.