Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Mark X imefungwa injini ya cruiser...?? tena diesel....
Watanzania kuna pahala itafika wajapani watatushtaki tuvyochezea teknolojia zao
 
asee mzee hiyo kamba naruka !! naaamini na wana JF watairuka we gari gani iliokl bongo inagonga spid hizo hivi unajua hata koenisegg agera haifiki 300mph sa ww ukifikaje 260mph sawa na 418kph road ipi na gari ipi hamna s clacc inagonga hapo
bora umesem...kuna watu waongo sana....sehemu iliyotulia ukifika 140 kph unaaza kuona jeneza kwa mbali
 
Siku ukikutana na mziki wa boxer au San LG na hiyo TI yako ndo utaomba poo kabisa....
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Mark X imefungwa injini ya cruiser...?? tena diesel....
Watanzania kuna pahala itafika wajapani watatushtaki tuvyochezea teknolojia zao
UNABISHA au UNASHANGAA?
 
bora umesem...kuna watu waongo sana....sehemu iliyotulia ukifika 140 kph unaaza kuona jeneza kwa mbali
Mkuu inategemea na gari kuna gari ukiwa kwenye 140 kph wala hutohisi kama ni hataree na hiyo ni speed ya kawaida kwa wapenda mbio, ila kama kigari chenyewe chepesi kweli ukifika hiyo 140 lazima utaona mwitikio wa gari sio wa kawaida ila migari mizito utaona sawa tu! na ndo maana wakati mwingine kama dreva hana defensive driving skills ni rahisi sana kupata ajali maana yeye ataona raha tu gari inavyoitikia maspeed maana kuna migari ikiwa kwenye speed hizo za 140 kph plus inakuwa imetulia sana barabarani!
 
Jaribu ligi na Subaru Forester WRX uje utupe majibu
 
Mkuu upo serious?? Mark x engine ya Cruiser tena diesel engine??? Natamani niione hiyo gari.
 
kutembea speed kubwa siyo shida, shida ni gari gani unatembea nayo speed kubwa. utakuta mtu anatembea speed 170km/h kwenye passo ni kujitafutia kifo
 
kutembea speed kubwa siyo shida, shida ni gari gani unatembea nayo speed kubwa. utakuta mtu anatembea speed 170km/h kwenye passo ni kujitafutia kifo
Gari zenye engine ndogo sikuzote huwa zinatetemeka zikifikisha speed 120 nakuendelea
 
Aisee mi dream yangu niwe na volkswagen golf gti nione hawa pang’ang’a team toyo kama kuna ataenisogelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…