Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Mark X imefungwa injini ya cruiser...?? tena diesel....hii migari ya japan wanamix ENGINE's mbalimbali hasa hasa hizi SPORT CARS hazinaga permanent Engine.... yaani gari ikiwa used tu.. ENGINE kwa kias kikubwa utakuta imechezewa au imebadilishwa ndio maana kunatokea mikanganyiko mbalimbali. unaweza kuweka ENGINE yoyote unayoitaka ilimradi ifiti katika Bonnet tu.. kuna jamaa aliifunga Mark x engine ya diesel kama sikosei ya cruiser sema sikumbuki ni cruiser ipi.. yupo DODOMA huko..
bora umesem...kuna watu waongo sana....sehemu iliyotulia ukifika 140 kph unaaza kuona jeneza kwa mbaliasee mzee hiyo kamba naruka !! naaamini na wana JF watairuka we gari gani iliokl bongo inagonga spid hizo hivi unajua hata koenisegg agera haifiki 300mph sa ww ukifikaje 260mph sawa na 418kph road ipi na gari ipi hamna s clacc inagonga hapo
Siku ukikutana na mziki wa boxer au San LG na hiyo TI yako ndo utaomba poo kabisa....Moja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama
Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye mwinuko kidogo huku nikijiona mimi ni bingwa barabarani niliiona gari likija kwa nyuma yangu kwa kasi sana ilikuwa kama mita 130 nyuma yangu basi nikasema haiwezekani nikapitwa kijinga kiasi hicho nikachochea moto nikafikisha speed 125 hivi.....sasa nilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.
Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti lakini niliambulia patupu
Hizi crown ni gari za safari ingawa inameza mafuta kama jini ila ni chombo cha maana nami namuomba mungu huku nikijichanga nichukue hii ndinga
Hongereni wote mnaoendesha athletes crown au mnaomiliki hii ndinga hakika hamjakosea
Unasemaje eti niwe na v8 halafu wewe GX100 Uniache mkuu hata kama nimelewaGari yoyote yenye injini ya GX100 ogopa sana.likifungua hata uwe na range rover v8 na uko spidi 200 itakupita kama umesimama na huku yenyewe imeandikwa spidi 180
UNABISHA au UNASHANGAA?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Mark X imefungwa injini ya cruiser...?? tena diesel....
Watanzania kuna pahala itafika wajapani watatushtaki tuvyochezea teknolojia zao
Mkuu inategemea na gari kuna gari ukiwa kwenye 140 kph wala hutohisi kama ni hataree na hiyo ni speed ya kawaida kwa wapenda mbio, ila kama kigari chenyewe chepesi kweli ukifika hiyo 140 lazima utaona mwitikio wa gari sio wa kawaida ila migari mizito utaona sawa tu! na ndo maana wakati mwingine kama dreva hana defensive driving skills ni rahisi sana kupata ajali maana yeye ataona raha tu gari inavyoitikia maspeed maana kuna migari ikiwa kwenye speed hizo za 140 kph plus inakuwa imetulia sana barabarani!bora umesem...kuna watu waongo sana....sehemu iliyotulia ukifika 140 kph unaaza kuona jeneza kwa mbali
Mkuu katika spidi hiyo na bado ukawa na harakati za kubja mipicha?Kuna watoto walikuwa na Alteza hawakujua kama huu moto ni hatari niliwapita na kuwatumia hii picha hawakujaribu tena kufuata.View attachment 783802
Ndio mkuuMkuu katika spidi hiyo na bado ukawa na harakati za kubja mipicha?
Duuh haya kila la heri mkuuNdio mkuu
Moja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama
Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye mwinuko kidogo huku nikijiona mimi ni bingwa barabarani niliiona gari likija kwa nyuma yangu kwa kasi sana ilikuwa kama mita 130 nyuma yangu basi nikasema haiwezekani nikapitwa kijinga kiasi hicho nikachochea moto nikafikisha speed 125 hivi.....sasa nilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.
Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti lakini niliambulia patupu
Hizi crown ni gari za safari ingawa inameza mafuta kama jini ila ni chombo cha maana nami namuomba mungu huku nikijichanga nichukue hii ndinga
Hongereni wote mnaoendesha athletes crown au mnaomiliki hii ndinga hakika hamjakosea
Mkuu upo serious?? Mark x engine ya Cruiser tena diesel engine??? Natamani niione hiyo gari.hii migari ya japan wanamix ENGINE's mbalimbali hasa hasa hizi SPORT CARS hazinaga permanent Engine.... yaani gari ikiwa used tu.. ENGINE kwa kias kikubwa utakuta imechezewa au imebadilishwa ndio maana kunatokea mikanganyiko mbalimbali. unaweza kuweka ENGINE yoyote unayoitaka ilimradi ifiti katika Bonnet tu.. kuna jamaa aliifunga Mark x engine ya diesel kama sikosei ya cruiser sema sikumbuki ni cruiser ipi.. yupo DODOMA huko..
Gari zenye engine ndogo sikuzote huwa zinatetemeka zikifikisha speed 120 nakuendeleakutembea speed kubwa siyo shida, shida ni gari gani unatembea nayo speed kubwa. utakuta mtu anatembea speed 170km/h kwenye passo ni kujitafutia kifo
Passo huwezi pata spidi hiokutembea speed kubwa siyo shida, shida ni gari gani unatembea nayo speed kubwa. utakuta mtu anatembea speed 170km/h kwenye passo ni kujitafutia kifo
Duuu!! Jipange kwelikweliAisee mi dream yangu niwe na volkswagen golf gti nione hawa pang’ang’a team toyo kama kuna ataenisogelea.