Duh Engine ya cruiser inafit kwenye mark x?hii migari ya japan wanamix ENGINE's mbalimbali hasa hasa hizi SPORT CARS hazinaga permanent Engine.... yaani gari ikiwa used tu.. ENGINE kwa kias kikubwa utakuta imechezewa au imebadilishwa ndio maana kunatokea mikanganyiko mbalimbali. unaweza kuweka ENGINE yoyote unayoitaka ilimradi ifiti katika Bonnet tu.. kuna jamaa aliifunga Mark x engine ya diesel kama sikosei ya cruiser sema sikumbuki ni cruiser ipi.. yupo DODOMA huko..
kwanini isikaeDuh Engine ya cruiser inafit kwenye mark x?
nipe sababu 5 kwanini isikaeDuh Engine ya cruiser inafit kwenye mark x?
Inawezekana maana watu wanafanya modification mpaka unashangaa.Duh Engine ya cruiser inafit kwenye mark x?
Sijabisha...najua mbongo hakuna kinachomshinda kuchakachua..UNABISHA au UNASHANGAA?
Kanissan Note kangu cc 1500 nilikuwa natabia ya kubonyeza mapaka 140 kph....na kanatulia balaa barabani...kana balance ya kutosha..Gari zenye engine ndogo sikuzote huwa zinatetemeka zikifikisha speed 120 nakuendelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana maana watu wanafanya modification mpaka unashangaa.
Mwaka jana nilikuwa Mwanza Ziwa Victoria niliona mtu kafunga engine ya Land Rover 109 kwenye boti ya abiria huko visiwani nadhani kati ya kisiwa cha Nkome na Muleba.
Familia ndio kila kitu mkuuKanissan Note kangu cc 1500 nilikuwa natabia ya kubonyeza mapaka 140 kph....na kanatulia balaa barabani...kana balance ya kutosha..
Ila kwa sasa nina familia huo mchezo nimeacha.....nimejitahidi saaan 120kph...hapo ni safari ya mbali.
NAWASILISHA
Inawezekana maana watu wanafanya modification mpaka unashangaa.
Mwaka jana nilikuwa Mwanza Ziwa Victoria niliona mtu kafunga engine ya Land Rover 109 kwenye boti ya abiria huko visiwani nadhani kati ya kisiwa cha Nkome na Muleba.
Sijabisha...najua mbongo hakuna kinachomshinda kuchakachua..
kama sanduku la kura liliibiwa mchana kweupe na likarudishwa mchana kweupe....unadhani ni jambo gani mbongo asiloliweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjerumani habari nyingine mkuuSpidi na nguvu nenda ujerumani,,
Bangi mbaya sana!!Sijabisha...najua mbongo hakuna kinachomshinda kuchakachua..
kama sanduku la kura liliibiwa mchana kweupe na likarudishwa mchana kweupe....unadhani ni jambo gani mbongo asiloliweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ina maana wale jamaa wa sandaku la kura walikuwa wametumia kitu cha kisimiri juu..??[emoji23][emoji23]Bangi mbaya sana!!
Hio ni VW Touareg mashine kubwa 3100 CCMi najua tu kuendesha siyajui sana magari ila ni ile iliyofanana umbo kama Niss
Mi najua tu kuendesha suyajui sana magari, kakini ni ile inayofanana na Nissan Murano kwa mbali
Sports version ya Crown ndo hio Crown Athlete mbona mgumu kuelewa hio majesta hauwezi kuiweka pamoja maana sio special kwa ajili ya mbio..ni sawa sawa na kulinga ni Subaru Forester na Subaru ExigaCrown Majesta ya mwaka 2013 ina engine hii 3UZ-FE V8 4300cc. Hii ni zaidi ya Athlete
Kuna moja niliona tradecarview ina 5700cc urj engine ya landcruiser 200Crown Majesta ya mwaka 2013 ina engine hii 3UZ-FE V8 4300cc. Hii ni zaidi ya Athlete
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,nakumbuka nilifunga engine ya Toyota Carina kwenye vw touran.Kazi ya modifications iliyofanyika haikua ya kitoto.Inawezekana maana watu wanafanya modification mpaka unashangaa.
Mwaka jana nilikuwa Mwanza Ziwa Victoria niliona mtu kafunga engine ya Land Rover 109 kwenye boti ya abiria huko visiwani nadhani kati ya kisiwa cha Nkome na Muleba.