Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

baba niliweka kitu cha spot, na tyre kutoka nje ni style yake hiyo gari ukiwa speed sana inatoa tyre nje ili iwe stable, na kupiga mluzi ni turbo imefunguka barabara,, achana na hiyo kitu kama huwezi endesha magari makubwa.

Siku nikukuta Barabarani na hiyo Prado yako utaichukia Mkuu..
 
Gari yoyote yenye injini ya GX100 ogopa sana.likifungua hata uwe na range rover v8 na uko spidi 200 itakupita kama umesimama na huku yenyewe imeandikwa spidi 180
Eti umesem hata uwe na nini?????
 
Yani wewe wa Ti ulitakiwa ufukuzane na Starlet,na yenyewe ungecheza kinakuacha maana Ti kwenye milima haiendagi.hiyo ni gari dhaifu sana
 
Yani wewe wa Ti ulitakiwa ufukuzane na Starlet,na yenyewe ungecheza kinakuacha maana Ti kwenye milima haiendagi.hiyo ni gari dhaifu sana
Nimefanya safari sana Ti lakini sijaona ikichoka kwenye milima huo ni uongo uliopitiliza wiki iliyopita nimetoka nayo masasi-mtwara hadi Dar nilikuwa nayapita mabasi kama yamesimama...
Ti yangu ni Cc 1479 huwezi kuifananisha na starlet jaribu kuwauliza ambao wanaendesha ti ni gari ya ukweli safari ndefu na haiyumbi ukipishana na bus au Lorry
 
Mabasi siku hizi yamefungwa vifaa vinavyofanya isizidi speed 80KPH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…