Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Dah mie mwisho 120km/h tena kwa kubeep. Safari kwa ujumla mie ni 80 - 100.
I prefer that.
 
Namtafuta huyo wa crown athlete, Mimi Nipo na vw tiguan
 
Hahah Mkuu mimi sijaidharau lkn nimekwambia kitu kimoja,engine hio ya 7A ipo hata kwny corolla E100 sasa je ulishawahi kusikia sifa mojawapo ya corolla ni kukimbia sana ikiwa safari ndefu mkuu?
Mmmh sawa boss ila nakushauri siku moja itafute Carina kisha iendeshe kidogo op utapata experience mpya mkuu!
 
sijawahi kumiliki carina zaidi ya kupewa lifti au kupanda kama taxi.....sijaona hiyo comfortability unayoisema kwenye karina bosi japo umedadavua vyema sana.

Lakini pia usilinganishe xtrail na carina hata kidogo...xtrail inamuacha carina mbali sana kwa kila kitu..yaani hapo umelinganisha mkurugenzi wa kampuni na mfungua geti wa kampuni...
 
Mkuu umeongea vizuri Sana kuhusu Carina SI, lakini kuilinganisha na X-trail hapo huna tofauti na aliyefananisha Carina na Glanza.

Asante though.
 
Duuuuh kazi kwelikweli.
Kwa hiyo isimame halafu isome 180kph.
 
Crown bwana. Niliendesha mara ya kwanza kutoka External Mataa (DSM) ilipokua inaoshwa kwa wale wajamaa pembeni ya Kituo cha polisi, naipeleka Ukumbi wa Riverside kwaajili ya kupambwa nikawabebe wakwe kulikua na Harusi.

Ile natoka Mataa nafika mitaa ya njiapanda ya kwenda Mabibo Hostels nacheki mshale wa speed ipo 90kph. Wakati naiona kama haiendi vile. Duh.

Nilipokuja endesha safari ndefu nikagundua ina balance sana. Hafu ni comfortable sana inaweza compete na magari ya kifahari mengi sana.

Kama uchumi sio Tatizo, ni gari zuri la kununua. Ninavojua wese linajitahidi kunywa sijui kuhusu uimara.

Maana mayaona mengi wanayauza wamiliki wake Mil 12 hadi 14. Ila niicheki namba mpya kilometre chache na bado hali yake nzuri, sasa sijui kuna reason gani.
 
Haijalishi kuwa gar Ina spid ngap gari kutembea huchagizwa na dereva mwenyewe na Hali ya gari mie ninachombo Moja usiombe tukutane road Ina 180km/h cc 2000 n 1tr engine alafu nyepesi ila huwa naweka vitu vizito mzee usiombe waliowah kuweka ligi na hyo hiace ya 1tr leten ushuhuda wenyewe
 
My friend inategemea carina Ti ipi,usikariri kwamba kila carina Ti inapitwa nguvu na Nissan xtrail,hata rav 4 hakatizi
Aaah wapi
Twende kwenye ukubwa wa engine kwanza kabla ya yote

Carina TI bado hujaniambia
 
Du kumbe ulikua wewe mkuu me nilipowaona mnashindana nilipaki vits yangu pembeni mlinipita Kama upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…