Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini pia acha kufananisha Carina na Xtrail boss. acha kabisaAaaah mkuu bhana shoda yako nimeijua mkuu tuko pamoja ila acha kuzarau carina
Hahah mkuu nisaidie kumuelewesha mjomba labda ataelewa,hahah.lakini pia acha kufananisha Carina na Xtrail boss. acha kabisa
Mmmh sawa boss ila nakushauri siku moja itafute Carina kisha iendeshe kidogo op utapata experience mpya mkuu!Hahah Mkuu mimi sijaidharau lkn nimekwambia kitu kimoja,engine hio ya 7A ipo hata kwny corolla E100 sasa je ulishawahi kusikia sifa mojawapo ya corolla ni kukimbia sana ikiwa safari ndefu mkuu?
sijawahi kumiliki carina zaidi ya kupewa lifti au kupanda kama taxi.....sijaona hiyo comfortability unayoisema kwenye karina bosi japo umedadavua vyema sana.Mkuu huyu jamaa mimi nimeamua kumsaidia tu kumuelewesha maana inaoneka hazielewi izi brand za carina na wala hajawahi kuendesha carina ata ile ndogo yenye injini ya 5A couse sifa kubwa ya carina ni stability during its accerelation iyo ndo sifa kuu ya brand ya carina injini ya 5A inazalisha cc 1490 kwa ajili ya mwendo wa gari withi 4 four piston , pili kuna carina inaitwa si premium21 my road hii ina injini ya 7A hii injini inazalisha cc 1762 hii gari ina mwendo wa kutosha sana na pia inapullingi kubwa sana iwe ni mlimani ama tambarare gari hili linacompete na akina Nissani extrail na wengine kina Opa ,Nadia ambazo ziko kwenye class ya SUV ivyo kitendo cha uyu jamaa kuilinganish Carina na starket kiukweli nimemshangaa sana maana ameonyesha wazi kuwa wal si mtu wa magari na wla hajui lile analo lisema kiukweli Csrina wala si gari nyonge kiivyo kama ambavyo wengi wanjaribu kuielezea.
Ikumbukwe kuna Carina zenye injini ndogo na Carina zenye injini kubwa na sifa kubwa ya Carina ni stsbility pindi ikiwa kwenye speed kubwa yaani Carina ukiwa kwenye mwendo wa 160kmp ni unaona kawaida tu na wala gari halitetemeki kama gari nyingine za toyota Carina iko stable sana pindi iwapo soeed na pia haina historia ya kupinduka pinduka ovyo na ni nadra sna kupata ajali
Vijana wengi wa tz muache mihemko wengi hammiliki magari ni kusoma kwenye mitandao na kisha kujifanya wajuaji
Nakupa om work chukua Carina si premium21 na iweke na Nisssan extrail kisha uone nani atumuomba poo mwenzie kifupi watu wengi wanao iundergrade carina basi ujue hawaijui na wala hawajawahi kuendesha hii gari.
Hii ni gari niliyoanzia maisha so Carina nalifahamu nje ndani unidanganyi kitu chochote
Kuhusu Crown Athlete hii ni gari lenye injini kubwa kabisa ivyo haifai kulipima na Carina crown ipime na harrier lexus na wenzie kina Brevis na mark x ila ninachotaka kuwambia ikiwa mwenye Crown siyo dreva mzuri na mwenye Carina ni dreva mzuri basi mwenye Crown itabidi awasimulie wenzie yatakayo mkuta
Carina is the best among Seneda car!!
Mkuu umeongea vizuri Sana kuhusu Carina SI, lakini kuilinganisha na X-trail hapo huna tofauti na aliyefananisha Carina na Glanza.Mkuu huyu jamaa mimi nimeamua kumsaidia tu kumuelewesha maana inaoneka hazielewi izi brand za carina na wala hajawahi kuendesha carina ata ile ndogo yenye injini ya 5A couse sifa kubwa ya carina ni stability during its accerelation iyo ndo sifa kuu ya brand ya carina injini ya 5A inazalisha cc 1490 kwa ajili ya mwendo wa gari withi 4 four piston , pili kuna carina inaitwa si premium21 my road hii ina injini ya 7A hii injini inazalisha cc 1762 hii gari ina mwendo wa kutosha sana na pia inapullingi kubwa sana iwe ni mlimani ama tambarare gari hili linacompete na akina Nissani extrail na wengine kina Opa ,Nadia ambazo ziko kwenye class ya SUV ivyo kitendo cha uyu jamaa kuilinganish Carina na starket kiukweli nimemshangaa sana maana ameonyesha wazi kuwa wal si mtu wa magari na wla hajui lile analo lisema kiukweli Csrina wala si gari nyonge kiivyo kama ambavyo wengi wanjaribu kuielezea.
Ikumbukwe kuna Carina zenye injini ndogo na Carina zenye injini kubwa na sifa kubwa ya Carina ni stsbility pindi ikiwa kwenye speed kubwa yaani Carina ukiwa kwenye mwendo wa 160kmp ni unaona kawaida tu na wala gari halitetemeki kama gari nyingine za toyota Carina iko stable sana pindi iwapo soeed na pia haina historia ya kupinduka pinduka ovyo na ni nadra sna kupata ajali
Vijana wengi wa tz muache mihemko wengi hammiliki magari ni kusoma kwenye mitandao na kisha kujifanya wajuaji
Nakupa om work chukua Carina si premium21 na iweke na Nisssan extrail kisha uone nani atumuomba poo mwenzie kifupi watu wengi wanao iundergrade carina basi ujue hawaijui na wala hawajawahi kuendesha hii gari.
Hii ni gari niliyoanzia maisha so Carina nalifahamu nje ndani unidanganyi kitu chochote
Kuhusu Crown Athlete hii ni gari lenye injini kubwa kabisa ivyo haifai kulipima na Carina crown ipime na harrier lexus na wenzie kina Brevis na mark x ila ninachotaka kuwambia ikiwa mwenye Crown siyo dreva mzuri na mwenye Carina ni dreva mzuri basi mwenye Crown itabidi awasimulie wenzie yatakayo mkuta
Carina is the best among Seneda car!!
Duuuuh kazi kwelikweli.kuuliza sio ujinga , kwa mnaoendesha gari auto. ukiweka N(neutral) ukakanyaga mafuta mshale wa speed si utasoma kama kawaida ?
I mean wengine mnatupigia picha hzo dashboard zinasoma 180kpm isijekuwa mmepaki tu na mnapiga resi mnakapture picha mnatuma [emoji2]
Hahah Mkuu mimi sijaidharau lkn nimekwambia kitu kimoja,engine hio ya 7A ipo hata kwny corolla E100 sasa je ulishawahi kusikia sifa mojawapo ya corolla ni kukimbia sana ikiwa safari ndefu mkuu?
Mmmh kwenye Corolla hakuna 7A engine, Kuna 5A engine
Kumbe ulikuwa na mkweche? ungezidi kupambana kingewaka motoNilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti
Mzee nipe vw touareg hutaona hata moshi wa gari umepotelea wapiKuna watoto walikuwa na Alteza hawakujua kama huu moto ni hatari niliwapita na kuwatumia hii picha hawakujaribu tena kufuata.View attachment 783802
Kati ya wajinga 10 hapa jf wewe ni namba 1.... Kwasabb hujui unachokifanya nakuacha na UJINGA wako kichwaniKumbe ulikuwa na mkweche? ungezidi kupambana kingewaka moto
Hata carina pia ni 5A ni moja Kati ya engine imaraMmmh kwenye Corolla hakuna 7A engine, Kuna 5A engine
Usikatishwe tamaa my friend! mtu mwenye busara na akili timamu hununua gari analolipenda yeye na siyo kwa matakwa ya wengine! Life it's all abt choices!Kati ya wajinga 10 hapa jf wewe ni namba 1.... Kwasabb hujui unachokifanya nakuacha na UJINGA wako kichwani
My friend inategemea carina Ti ipi,usikariri kwamba kila carina Ti inapitwa nguvu na Nissan xtrail,hata rav 4 hakatizilakini pia acha kufananisha Carina na Xtrail boss. acha kabisa
Aaah wapiMy friend inategemea carina Ti ipi,usikariri kwamba kila carina Ti inapitwa nguvu na Nissan xtrail,hata rav 4 hakatizi
Du kumbe ulikua wewe mkuu me nilipowaona mnashindana nilipaki vits yangu pembeni mlinipita Kama upepoMoja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama
Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye mwinuko kidogo huku nikijiona mimi ni bingwa barabarani niliiona gari likija kwa nyuma yangu kwa kasi sana ilikuwa kama mita 130 nyuma yangu basi nikasema haiwezekani nikapitwa kijinga kiasi hicho nikachochea moto nikafikisha speed 125 hivi.....sasa nilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.
Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti lakini niliambulia patupu
Hizi crown ni gari za safari ingawa inameza mafuta kama jini ila ni chombo cha maana nami namuomba mungu huku nikijichanga nichukue hii ndinga
Hongereni wote mnaoendesha athletes crown au mnaomiliki hii ndinga hakika hamjakosea