Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Dah mie mwisho 120km/h tena kwa kubeep. Safari kwa ujumla mie ni 80 - 100.
I prefer that.
 
Namtafuta huyo wa crown athlete, Mimi Nipo na vw tiguan
 
Hahah Mkuu mimi sijaidharau lkn nimekwambia kitu kimoja,engine hio ya 7A ipo hata kwny corolla E100 sasa je ulishawahi kusikia sifa mojawapo ya corolla ni kukimbia sana ikiwa safari ndefu mkuu?
Mmmh sawa boss ila nakushauri siku moja itafute Carina kisha iendeshe kidogo op utapata experience mpya mkuu!
 
Mkuu huyu jamaa mimi nimeamua kumsaidia tu kumuelewesha maana inaoneka hazielewi izi brand za carina na wala hajawahi kuendesha carina ata ile ndogo yenye injini ya 5A couse sifa kubwa ya carina ni stability during its accerelation iyo ndo sifa kuu ya brand ya carina injini ya 5A inazalisha cc 1490 kwa ajili ya mwendo wa gari withi 4 four piston , pili kuna carina inaitwa si premium21 my road hii ina injini ya 7A hii injini inazalisha cc 1762 hii gari ina mwendo wa kutosha sana na pia inapullingi kubwa sana iwe ni mlimani ama tambarare gari hili linacompete na akina Nissani extrail na wengine kina Opa ,Nadia ambazo ziko kwenye class ya SUV ivyo kitendo cha uyu jamaa kuilinganish Carina na starket kiukweli nimemshangaa sana maana ameonyesha wazi kuwa wal si mtu wa magari na wla hajui lile analo lisema kiukweli Csrina wala si gari nyonge kiivyo kama ambavyo wengi wanjaribu kuielezea.

Ikumbukwe kuna Carina zenye injini ndogo na Carina zenye injini kubwa na sifa kubwa ya Carina ni stsbility pindi ikiwa kwenye speed kubwa yaani Carina ukiwa kwenye mwendo wa 160kmp ni unaona kawaida tu na wala gari halitetemeki kama gari nyingine za toyota Carina iko stable sana pindi iwapo soeed na pia haina historia ya kupinduka pinduka ovyo na ni nadra sna kupata ajali

Vijana wengi wa tz muache mihemko wengi hammiliki magari ni kusoma kwenye mitandao na kisha kujifanya wajuaji

Nakupa om work chukua Carina si premium21 na iweke na Nisssan extrail kisha uone nani atumuomba poo mwenzie kifupi watu wengi wanao iundergrade carina basi ujue hawaijui na wala hawajawahi kuendesha hii gari.

Hii ni gari niliyoanzia maisha so Carina nalifahamu nje ndani unidanganyi kitu chochote

Kuhusu Crown Athlete hii ni gari lenye injini kubwa kabisa ivyo haifai kulipima na Carina crown ipime na harrier lexus na wenzie kina Brevis na mark x ila ninachotaka kuwambia ikiwa mwenye Crown siyo dreva mzuri na mwenye Carina ni dreva mzuri basi mwenye Crown itabidi awasimulie wenzie yatakayo mkuta

Carina is the best among Seneda car!!
sijawahi kumiliki carina zaidi ya kupewa lifti au kupanda kama taxi.....sijaona hiyo comfortability unayoisema kwenye karina bosi japo umedadavua vyema sana.

Lakini pia usilinganishe xtrail na carina hata kidogo...xtrail inamuacha carina mbali sana kwa kila kitu..yaani hapo umelinganisha mkurugenzi wa kampuni na mfungua geti wa kampuni...
 
Mkuu huyu jamaa mimi nimeamua kumsaidia tu kumuelewesha maana inaoneka hazielewi izi brand za carina na wala hajawahi kuendesha carina ata ile ndogo yenye injini ya 5A couse sifa kubwa ya carina ni stability during its accerelation iyo ndo sifa kuu ya brand ya carina injini ya 5A inazalisha cc 1490 kwa ajili ya mwendo wa gari withi 4 four piston , pili kuna carina inaitwa si premium21 my road hii ina injini ya 7A hii injini inazalisha cc 1762 hii gari ina mwendo wa kutosha sana na pia inapullingi kubwa sana iwe ni mlimani ama tambarare gari hili linacompete na akina Nissani extrail na wengine kina Opa ,Nadia ambazo ziko kwenye class ya SUV ivyo kitendo cha uyu jamaa kuilinganish Carina na starket kiukweli nimemshangaa sana maana ameonyesha wazi kuwa wal si mtu wa magari na wla hajui lile analo lisema kiukweli Csrina wala si gari nyonge kiivyo kama ambavyo wengi wanjaribu kuielezea.

Ikumbukwe kuna Carina zenye injini ndogo na Carina zenye injini kubwa na sifa kubwa ya Carina ni stsbility pindi ikiwa kwenye speed kubwa yaani Carina ukiwa kwenye mwendo wa 160kmp ni unaona kawaida tu na wala gari halitetemeki kama gari nyingine za toyota Carina iko stable sana pindi iwapo soeed na pia haina historia ya kupinduka pinduka ovyo na ni nadra sna kupata ajali

Vijana wengi wa tz muache mihemko wengi hammiliki magari ni kusoma kwenye mitandao na kisha kujifanya wajuaji

Nakupa om work chukua Carina si premium21 na iweke na Nisssan extrail kisha uone nani atumuomba poo mwenzie kifupi watu wengi wanao iundergrade carina basi ujue hawaijui na wala hawajawahi kuendesha hii gari.

Hii ni gari niliyoanzia maisha so Carina nalifahamu nje ndani unidanganyi kitu chochote

Kuhusu Crown Athlete hii ni gari lenye injini kubwa kabisa ivyo haifai kulipima na Carina crown ipime na harrier lexus na wenzie kina Brevis na mark x ila ninachotaka kuwambia ikiwa mwenye Crown siyo dreva mzuri na mwenye Carina ni dreva mzuri basi mwenye Crown itabidi awasimulie wenzie yatakayo mkuta

Carina is the best among Seneda car!!
Mkuu umeongea vizuri Sana kuhusu Carina SI, lakini kuilinganisha na X-trail hapo huna tofauti na aliyefananisha Carina na Glanza.

Asante though.
 
kuuliza sio ujinga , kwa mnaoendesha gari auto. ukiweka N(neutral) ukakanyaga mafuta mshale wa speed si utasoma kama kawaida ?

I mean wengine mnatupigia picha hzo dashboard zinasoma 180kpm isijekuwa mmepaki tu na mnapiga resi mnakapture picha mnatuma [emoji2]
Duuuuh kazi kwelikweli.
Kwa hiyo isimame halafu isome 180kph.
 
Crown bwana. Niliendesha mara ya kwanza kutoka External Mataa (DSM) ilipokua inaoshwa kwa wale wajamaa pembeni ya Kituo cha polisi, naipeleka Ukumbi wa Riverside kwaajili ya kupambwa nikawabebe wakwe kulikua na Harusi.

Ile natoka Mataa nafika mitaa ya njiapanda ya kwenda Mabibo Hostels nacheki mshale wa speed ipo 90kph. Wakati naiona kama haiendi vile. Duh.

Nilipokuja endesha safari ndefu nikagundua ina balance sana. Hafu ni comfortable sana inaweza compete na magari ya kifahari mengi sana.

Kama uchumi sio Tatizo, ni gari zuri la kununua. Ninavojua wese linajitahidi kunywa sijui kuhusu uimara.

Maana mayaona mengi wanayauza wamiliki wake Mil 12 hadi 14. Ila niicheki namba mpya kilometre chache na bado hali yake nzuri, sasa sijui kuna reason gani.
 
Haijalishi kuwa gar Ina spid ngap gari kutembea huchagizwa na dereva mwenyewe na Hali ya gari mie ninachombo Moja usiombe tukutane road Ina 180km/h cc 2000 n 1tr engine alafu nyepesi ila huwa naweka vitu vizito mzee usiombe waliowah kuweka ligi na hyo hiace ya 1tr leten ushuhuda wenyewe
 
My friend inategemea carina Ti ipi,usikariri kwamba kila carina Ti inapitwa nguvu na Nissan xtrail,hata rav 4 hakatizi
Aaah wapi
Twende kwenye ukubwa wa engine kwanza kabla ya yote

Carina TI bado hujaniambia
 
Moja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama

Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye mwinuko kidogo huku nikijiona mimi ni bingwa barabarani niliiona gari likija kwa nyuma yangu kwa kasi sana ilikuwa kama mita 130 nyuma yangu basi nikasema haiwezekani nikapitwa kijinga kiasi hicho nikachochea moto nikafikisha speed 125 hivi.....sasa nilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.

Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti lakini niliambulia patupu
Hizi crown ni gari za safari ingawa inameza mafuta kama jini ila ni chombo cha maana nami namuomba mungu huku nikijichanga nichukue hii ndinga

Hongereni wote mnaoendesha athletes crown au mnaomiliki hii ndinga hakika hamjakosea
Du kumbe ulikua wewe mkuu me nilipowaona mnashindana nilipaki vits yangu pembeni mlinipita Kama upepo
 
Back
Top Bottom