Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Mkuu usijaribu kuliendesha hilo prado kwa spidi hio sio gari stable kabisa kwanza lipo juu juu
 
Mi najua tu kuendesha siyajui sana magari ila ni ile iliyofanana umbo kama Niss

Mi najua tu kuendesha suyajui sana magari, kakini ni ile inayofanana na Nissan Murano kwa mbali
Unaizungumzia tuareg,jamaa hakuamua tu,huwezi shindana na hiyo gari
 
Hiyo gari mwisho speed 180 ikifika 140 inatetema hamna kitu kwa ford kuga speed 180 gari ipo very stable au vw ndogo tu hz polo
 
Mi najua tu kuendesha siyajui sana magari ila ni ile iliyofanana umbo kama Niss

Mi najua tu kuendesha suyajui sana magari, kakini ni ile inayofanana na Nissan Murano kwa mbali
Ha ha,, haina noma big broo,, hyo ni Tuareg na ilikuwa na haki ya kuwaacha na msiione tena asee
 
hiyo crown ina spidi ya kawaida sana mkuu,mwenye brevis hapa aje aweke ushuhuda,kuna jamaa yangu ana hiyo crown nishafanya nae sana ligi na brevis hajawahi kunikamata....nashangaa brevis mmeiweka kando,bado hamjakutana na gari zenye kasi eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…