Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Shape mbaya, nimepitia comments za huu uzi zote, nimecheka sana, kuna watu ukiwaambia warudia na comments zao wanaweza jikana.. kuna wadau walikuwa wanasema Majesta ni mtoto kwa crown πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. kuna blaaa blaaa kibao
Humu kuna wazee wa chai 😸 mtu anaogelea kitu hajawah hata kukiona
 
Humu kuna wazee wa chai 😸 mtu anaogelea kitu hajawah hata kukiona
Nimecheka sana, kuna watu ukiwauliza kuhusu comments zao, watatamani wazifute.. kulikuwa na chai bila.hata sukari πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. sema old is gold. Jana na Leo nimedanikiwa kuona Lexus Ls kama tatu mjini.. wakurungwa naona wamekamatia
 
Shape mbaya, nimepitia comments za huu uzi zote, nimecheka sana, kuna watu ukiwaambia warudia na comments zao wanaweza jikana.. kuna wadau walikuwa wanasema Majesta ni mtoto kwa crown [emoji3][emoji3][emoji3].. kuna blaaa blaaa kibao
Majesta mtoto kwa crown? Dah [emoji23][emoji23][emoji23] kweli wana wanaropokaga
 
Hapo kwenye Kumtaja Muumba umekosea kutumia herufi ndogo.
 
Watu wana hela πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Itakuwa imetulia vibaya ni petrol au hybrid ?
Nahisi ni Petrol Hybrid nmeli google lile ni la 2015 kumbe. La 2019 lamoto zaidi.

Sema bei yake ndio humo humo, 40-45M kulivusha maji, kumalizana na TPA na TRA sio chini ya 40M tena. So linaenda 80M+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…