Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Shape mbaya, nimepitia comments za huu uzi zote, nimecheka sana, kuna watu ukiwaambia warudia na comments zao wanaweza jikana.. kuna wadau walikuwa wanasema Majesta ni mtoto kwa crown ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. kuna blaaa blaaa kibao
Humu kuna wazee wa chai ๐Ÿ˜ธ mtu anaogelea kitu hajawah hata kukiona
 
Humu kuna wazee wa chai ๐Ÿ˜ธ mtu anaogelea kitu hajawah hata kukiona
Nimecheka sana, kuna watu ukiwauliza kuhusu comments zao, watatamani wazifute.. kulikuwa na chai bila.hata sukari ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. sema old is gold. Jana na Leo nimedanikiwa kuona Lexus Ls kama tatu mjini.. wakurungwa naona wamekamatia
 
Shape mbaya, nimepitia comments za huu uzi zote, nimecheka sana, kuna watu ukiwaambia warudia na comments zao wanaweza jikana.. kuna wadau walikuwa wanasema Majesta ni mtoto kwa crown [emoji3][emoji3][emoji3].. kuna blaaa blaaa kibao
Majesta mtoto kwa crown? Dah [emoji23][emoji23][emoji23] kweli wana wanaropokaga
 

Moja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama

Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye mwinuko kidogo huku nikijiona mimi ni bingwa barabarani niliiona gari likija kwa nyuma yangu kwa kasi sana ilikuwa kama mita 130 nyuma yangu basi nikasema haiwezekani nikapitwa kijinga kiasi hicho nikachochea moto nikafikisha speed 125 hivi sasa nilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.

Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti lakini niliambulia patupu
Hizi crown ni gari za safari ingawa inameza mafuta kama jini ila ni chombo cha maana nami namuomba mungu huku nikijichanga nichukue hii ndinga

Hongereni wote mnaoendesha Athletes Crown au mnaomiliki hii ndinga hakika hamjakosea
Hapo kwenye Kumtaja Muumba umekosea kutumia herufi ndogo.
 
Watu wana hela ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€. Itakuwa imetulia vibaya ni petrol au hybrid ?
Nahisi ni Petrol Hybrid nmeli google lile ni la 2015 kumbe. La 2019 lamoto zaidi.

Sema bei yake ndio humo humo, 40-45M kulivusha maji, kumalizana na TPA na TRA sio chini ya 40M tena. So linaenda 80M+
 
Back
Top Bottom