ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Mkuu huyu jamaa mimi nimeamua kumsaidia tu kumuelewesha maana inaoneka hazielewi izi brand za carina na wala hajawahi kuendesha carina ata ile ndogo yenye injini ya 5A couse sifa kubwa ya carina ni stability during its accerelation iyo ndo sifa kuu ya brand ya carina injini ya 5A inazalisha cc 1490 kwa ajili ya mwendo wa gari withi 4 four piston , pili kuna carina inaitwa si premium21 my road hii ina injini ya 7A hii injini inazalisha cc 1762 hii gari ina mwendo wa kutosha sana na pia inapullingi kubwa sana iwe ni mlimani ama tambarare gari hili linacompete na akina Nissani extrail na wengine kina Opa ,Nadia ambazo ziko kwenye class ya SUV ivyo kitendo cha uyu jamaa kuilinganish Carina na starket kiukweli nimemshangaa sana maana ameonyesha wazi kuwa wal si mtu wa magari na wla hajui lile analo lisema kiukweli Csrina wala si gari nyonge kiivyo kama ambavyo wengi wanjaribu kuielezea.Bora wewe umetoa somo juu ya carina naona huyo jamaa anabisha tu ili mradi aonekane anajua mtu ambaye anaiponda Ti kwa starlet sidhani kama amewahi kusafiri na gari safari ndef
Huyo jamaa nahisi hajui ubora wa carina SAFARI ndefu
Ikumbukwe kuna Carina zenye injini ndogo na Carina zenye injini kubwa na sifa kubwa ya Carina ni stsbility pindi ikiwa kwenye speed kubwa yaani Carina ukiwa kwenye mwendo wa 160kmp ni unaona kawaida tu na wala gari halitetemeki kama gari nyingine za toyota Carina iko stable sana pindi iwapo soeed na pia haina historia ya kupinduka pinduka ovyo na ni nadra sna kupata ajali
Vijana wengi wa tz muache mihemko wengi hammiliki magari ni kusoma kwenye mitandao na kisha kujifanya wajuaji
Nakupa om work chukua Carina si premium21 na iweke na Nisssan extrail kisha uone nani atumuomba poo mwenzie kifupi watu wengi wanao iundergrade carina basi ujue hawaijui na wala hawajawahi kuendesha hii gari.
Hii ni gari niliyoanzia maisha so Carina nalifahamu nje ndani unidanganyi kitu chochote
Kuhusu Crown Athlete hii ni gari lenye injini kubwa kabisa ivyo haifai kulipima na Carina crown ipime na harrier lexus na wenzie kina Brevis na mark x ila ninachotaka kuwambia ikiwa mwenye Crown siyo dreva mzuri na mwenye Carina ni dreva mzuri basi mwenye Crown itabidi awasimulie wenzie yatakayo mkuta
Carina is the best among Seneda car!!