Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufika....Hivi huwa mnawahi nini?
Nakumbuka Julius Malema alikuwa na kesi yake baada ya kudakwa akiwa 215km/h Highway ndani ya BMW yake!
Hahahaha!!!Wahusika hawana mipango vizuri. Barabara kuu ya kwenda mikoani kwanza ilikuwa uruhusiwe kusukuma tu ata 150km/hr, afu mambo ya uwepo wa vijiji kila baada ya kilomita sifuri yasiwepo watu tusipoteze mda barabarani!
Ujerumani kuna Autobhan, barabara special kwa ajili ya high speeding ndio maana gari zao zimeundwa kuwa na speed kali.Sijajua kwanini Magari ya kijerumani yanakuwa na speed 260 na kuendelea tofauti na Japanese cars
Mkuu hizi ni fedhea,Crown inakuaje suzuki carry aisee.Ndugu crown inawah kuchanganya tu but maximum speed ni 180km/hr, but kwa Volkswagen polo tu yenye speed 260/240km/hr utaiacha kwa kuwah kuchanganya lakini mkisha nyooka highway crown inakua kama suzuk carry tu pollo inainyanyasa sana crown barabarani... And pollo ina cc chache kuliko crown.
Uchizi wa madereva wote tuko hivyo hata uwe mtakatifu kiasi gani ukishaanza Safari ndefu Tu huwezi kutembea kama upo kariakoo-mwenge..Hivi huwa mnawahi nini?
Nakumbuka Julius Malema alikuwa na kesi yake baada ya kudakwa akiwa 215km/h Highway ndani ya BMW yake!
Ilikuwa zijengwe highways kama za mbeleni uko. Njia ya kwenda mkoani saivi ni moja tuna share wanaokwenda na kurudi, lazima ajali zisiishe 😀 Afu madereva wetu uzembe umezidi, ata ukiwaambia watembee 1km/hr watasababisha ajali.Hahahaha!!!
Madereva wa mabasi wataua Sana watu
Au angalau DAR-moro kuwe na barabara mbili itasaidia kupunguza ajali za kizembe.Ilikuwa zijengwe highways kama za mbeleni uko. Njia ya kwenda mkoani saivi ni moja tuna share wanaokwenda na kurudi, lazima ajali zisiishe 😀 Afu madereva wetu uzembe umezidi, ata ukiwaambia watembee 1km/hr watasababisha ajali.
Jana kuna daladala yaani imeforce ku overtake gari nikajikuta nipo nae uso kwa uso ikabidi gari niitoe barabarani. Niliomba kwa Mungu anipe FUSO mie, madereva kama hawa nawapelekea makusudi tu 😀
Unajua kuna watu wanajisemea mambo tu.Mk
Mkuu hizi ni fedhea,Crown inakuaje suzuki carry aisee.
Mbaya zaidi vijiji vyenyewe havijasajiliwa ni wale wakimbia mji.Barabara ya segera chalinze ndio vimejaa viingi halafu vibao vinaanzia nyuma sana ni kama vile mtaji wa trafick kwenye hivi vibao,Wahusika hawana mipango vizuri. Barabara kuu ya kwenda mikoani kwanza ilikuwa uruhusiwe kusukuma tu ata 150km/hr, afu mambo ya uwepo wa vijiji kila baada ya kilomita sifuri yasiwepo watu tusipoteze mda barabarani!
Mimi watu kama hao huwa siwaonei hurumaAu angalau DAR-moro kuwe na barabara mbili itasaidia kupunguza ajali za kizembe.
Huo mfano ambayo umetoa ni Ile ya uzembe Kwa madereva hasa wa malori
Umeona mbali Sana aisee kama ningekuwa mbunge ningepeleka bungeni bill ili ipitiwe na wabunge, kwasabb kila baada ya miaka 2 vijiji vinaongezeka na mwisho wa siku inakuwa usumbufu Tu wa kutembea chini ya 50 mwanzomwishoMbaya zaidi vijiji vyenyewe havijasajiliwa ni wale wakimbia mji.Barabara ya segera chalinze ndio vimejaa viingi halafu vibao vinaanzia nyuma sana ni kama vile mtaji wa trafick kwenye hivi vibao,
Napendekeza spidi limit iwe 80Km/h kwa vijiji na 30 Km/h kwa mashule.
Eeh athlete ukiifanyia mapping inafika 260km/h sababu Lexus sedans zenye engine hio hio ya 4GR-FSE zinafika hio speed! Ndio maana Crown kufika 180kph ni ndani ya sekunde 30 tu very smoothly.Unajua kuna watu wanajisemea mambo tu.
Ameona Speedometer inasema 240 na nyengine 180 basi anaona kuwa ya 240 iko fasta. Crown inavuka 180, hii michoro tu ujue unaendaje. Chukua gari yoyote ya Uingereza mfano tuseme Toyota avensis utaona kuwa ina 240km/hr ila toyota avensis hio hio lakini kutoka Japan utakuta ina 180 na engine sawasawa.
Vijiji vinazingua sio 😂😂😂 wavipunguze banaUmeona mbali Sana aisee kama ningekuwa mbunge ningepeleka bungeni bill ili ipitiwe na wabunge, kwasabb kila baada ya miaka 2 vijiji vinaongezeka na mwisho wa siku inakuwa usumbufu Tu wa kutembea chini ya 50 mwanzomwisho
Boti imekula engine ya 109 hahaha 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania tanzania...nakupenda kwa moyo wote
Sasa kama Crown si imetiwa disc brakes mbele na nyuma sababu ya fast stop! Haina drum kama sedan za bei rahisi.Mkuu inategemea na gari kuna gari ukiwa kwenye 140 kph wala hutohisi kama ni hataree na hiyo ni speed ya kawaida kwa wapenda mbio, ila kama kigari chenyewe chepesi kweli ukifika hiyo 140 lazima utaona mwitikio wa gari sio wa kawaida ila migari mizito utaona sawa tu! na ndo maana wakati mwingine kama dreva hana defensive driving skills ni rahisi sana kupata ajali maana yeye ataona raha tu gari inavyoitikia maspeed maana kuna migari ikiwa kwenye speed hizo za 140 kph plus inakuwa imetulia sana barabarani!
Crown generation ya sasa nyingi ni chassisi no. inaanza na code ya engine GRS meaning GR engine!nyingi nchini ni 12generation ambazo hazina engine yoyote yenye code JZ
UNA UHAKIKA? je nikikuonesha yenye 1/2JZ utacngizia nini?
Mile 120 ni nyingi mkuu almost kilometre 200! Sasa mizunguko ya siku nzima unamaliza hizo km kweli?Sure...kwa sasa kuna Nissan leaf naona inauzwa sana beforward....
Hii gari ni full electric... Interior yake ipo vizuri..kwa safari za mjini ni super sana...Kwa mujibu wa hao beforward hizo used zinaweza kwenda mpaka Mile 120 kama sikosei ikiwa full charged...so uhakika wa kwenda kazini na kurudi nyumbani without out ofcharge upo.
nikiwa na creaster new model crown nikimuacha ndo basi tena [emoji41]
Kwann unataka kumuumbua mtu mzima mwenzako?Mkuu tupia picha ya hiyo cresta new model tuione.