Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Fasheni ya sasa ni Dualis na Subaru Forester. Imetoka Crown na Harrier tako la nyani.Na ndiyo maana wengi wanalia lia...kisa class mate wake kanunua, na yeye anajaa humo humo bila kuzingatia vigezo na masharti....kwa kweli bongo tunaoenda sana fashion...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitoka hapo sijajua ipi inafuata.