Athletes...wanamichezo wa bongo hawafiki mbali sababu ya kipochi

Sema Kuna namna fulani hivi ukiendekeza kukutanisha vikojoleo , automatically Kuna michongo inakugomea... Au hata ukute Kuna mtu anataka kukupa ramani ya maana akiona wewe beki hazikabi ,abdal kichwa wazi kila muda anataka, basi... Anakuona jau
 
Mike Tyson na Manny Pacquiao walishawahi kukiri waziwazi ngono inamaliza nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…