Dickson Mkami amemaliza akiwa wa 16 na kujiwekea rekodi yake mpya(personal best) Jafar ambae alikuwa ndie Mtz wa kwanza kuzungukwa amemaliza akiwa wa 21. Kumbuka watz wote watatu wamezungukwa leo hii!Yaani hata kundi la masikini lina tajiri wao..ha ha, nimecheka kweli
Shelly-Ann Fraser win 100m
Matokeo rasmi ya Watz katika mita 10,000
- 13. Fabiano Naasi. 28:04:03(SB)
- 16. Dickson Mkami. 28:18:00(SB)
- 21. Ezekiel Jafari. 28:45:34
SB- Season Best
Wamejitahidi sana, ila safari bado ni ndefu sana kwa kuwaangalia hawa watatu wa mwanzoduh! kumbe walijitahidi sana, kushindwa ilikuwa haki yao SB!!! Hivi chama cha riadha na michezo mingine wanafanya nini kwenda kutafuta wachezaji mashuleni?
Huyu dada Mrusi kajitakia mwenyewe na KUJIAMINI kuzidi kiasi. Wee utaanziaje urefu wa juu wakati wa hata kupata warm up bado?
I hope amepata shock kubwa sana na akirudi itakuwa kama Bubka ambaye na yeye alishafanya kitu kama hicho na aliporudi akaweka rekodi ya dunia.....
Mrusi yupi? au yule Mfaransa aliyetaka kushika No.1 akajitahidi kapata nafasi ya 3? tena, mbio hizi Kenya wamechemsha mwaka huu, huwa wanashika nafasi ya 1 hadi 4 wenyewe. Ni vigumu sana kuwashinda Wakenya kwenye hizi za kuruka viuzi na maji, hata akijipanga.
Huyo Mrusi aliyeshindwa kuruka Jelena Isinbayeva aliyewekwa ukurasa wa nyuma kajiinamia ndani ya Taulo. Hayo ni mashindano ya jana.
Huyu dadad Spencer wa Jamaica, kwenye tumbo juu ya kichupi, hizo ni nywele au Tatuu? Hii mitindo mingine hata watu wa camera wanapata shida kumpiga picha.