Athletics World Championships. Berlin

Athletics World Championships. Berlin

Yaani hata kundi la masikini lina tajiri wao..ha ha, nimecheka kweli
Dickson Mkami amemaliza akiwa wa 16 na kujiwekea rekodi yake mpya(personal best) Jafar ambae alikuwa ndie Mtz wa kwanza kuzungukwa amemaliza akiwa wa 21. Kumbuka watz wote watatu wamezungukwa leo hii!
 
Shelly-Ann Fraser win 100m
8e24aa61ec77729b269c9978203f664a.jpg
 
Yanayoendelea Berlin... Day 4

3603945367-18082009104105.jpg

701614125.jpg

modo aliyeamua kuruka juu

578086006-athletics-iaaf-world-athletics-championships-berlin-2009-olympiastadion.jpg

Mdada wa shoka

1255703007.jpg

Bolt akishindana katika mita 200, leo asubuhi

newsmlmmd.118c1ffc57e4d24e0dd5270493828b5d.6510b.jpg

Ethiopia's Kenenisa Bekele celebrates his victory in the men's 10,000m final race of the 2009 IAAF Athletics World Championships in Berlin. The 27-year-old Olympic champion ran 26min 46.31sec to add Berlin gold to his previous success in Paris 2003, Helsinki 2005 and Osaka two years ago, to match compatriot Haile Gebrselassie for the most world championshi titles won.

newsmlmmd.118c1ffc57e4d24e0dd5270493828b5d.4e13b.jpg

Malkia wa Urusi wa kuruka na mpindo akihamaki baada ya kushindwa kuruka hapo jana jioni. Malkia huyu asiyependa kuongea awapo uwanjani jana alipoteza taji lake la ubingwa wa Dunia... Pichani chini Malkia huyo akijificha kwenye blangeti!
1868561972.jpg

3300006709.jpg

989831520.jpg

Wenye jezi za njano hapo kwenye rundo la wakimbiaji, ni Watz katika raundi za mwanzo za mita 10,000

3637178145.jpg

Bibie Shelly Fraser... Sura maarufu katika riadha miaka hii.
 
Matokeo rasmi ya Watz katika mita 10,000
  • 13. Fabiano Naasi. 28:04:03(SB)
  • 16. Dickson Mkami. 28:18:00(SB)
  • 21. Ezekiel Jafari. 28:45:34

SB- Season Best
 
Matokeo rasmi ya Watz katika mita 10,000
  • 13. Fabiano Naasi. 28:04:03(SB)
  • 16. Dickson Mkami. 28:18:00(SB)
  • 21. Ezekiel Jafari. 28:45:34

SB- Season Best

duh! kumbe walijitahidi sana, kushindwa ilikuwa haki yao SB!!! Hivi chama cha riadha na michezo mingine wanafanya nini kwenda kutafuta wachezaji mashuleni?
 
duh! kumbe walijitahidi sana, kushindwa ilikuwa haki yao SB!!! Hivi chama cha riadha na michezo mingine wanafanya nini kwenda kutafuta wachezaji mashuleni?
Wamejitahidi sana, ila safari bado ni ndefu sana kwa kuwaangalia hawa watatu wa mwanzo
  1. Bekele 26:46:31. CR
  2. Tadese 26:50:12 SB
  3. Masai 26:57:39. SB
 
Ninadhani pia ingekuwa vema tuka-invest kwenye mbio za 800, 1500 na 3000m kuliko hizo ndefu zaidi. Ninatambua kuwa mbio fupi 100, 200, 400 hatuwezi. Kama nakosea mtanisahihisha, Filbet Bayi alishinda Gold mara kadhaa (Olympic) ilikuwa ni 1500m.
 
Juma Ikangaa, ndie aliyebadili upepo wa mbio Tz, ipo haja ya kurudia mbio za kati....
 
Wakenya wameshinda gold na silver for men's 3000m steeplechase...!
 
Huyu dada Mrusi kajitakia mwenyewe na KUJIAMINI kuzidi kiasi. Wee utaanziaje urefu wa juu wakati wa hata kupata warm up bado?
I hope amepata shock kubwa sana na akirudi itakuwa kama Bubka ambaye na yeye alishafanya kitu kama hicho na aliporudi akaweka rekodi ya dunia.....
 
Mrusi yupi? au yule Mfaransa aliyetaka kushika No.1 akajitahidi kapata nafasi ya 3? tena, mbio hizi Kenya wamechemsha mwaka huu, huwa wanashika nafasi ya 1 hadi 4 wenyewe. Ni vigumu sana kuwashinda Wakenya kwenye hizi za kuruka viuzi na maji, hata akijipanga.
 
Huyo Mrusi aliyeshindwa kuruka Jelena Isinbayeva aliyewekwa ukurasa wa nyuma kajiinamia ndani ya Taulo. Hayo ni mashindano ya jana.

Huyu dadad Spencer wa Jamaica, kwenye tumbo juu ya kichupi, hizo ni nywele au Tatuu? Hii mitindo mingine hata watu wa camera wanapata shida kumpiga picha.
 
ahahh! sawa mkuu, kwi kwi kwi warusi ndo michezo yao hiyo, bahati mbaya imemkuta.
 
Huyu dadad Spencer wa Jamaica, kwenye tumbo juu ya kichupi, hizo ni nywele au Tatuu? Hii mitindo mingine hata watu wa camera wanapata shida kumpiga picha.
Ile ni tattoo
 
Jana na Leo huko Berlin...Day 5

newsmlmmd.1bfe7d88cc04be0c6b8b82ca22888343.4113b.jpg

newsmlmmd.1bfe7d88cc04be0c6b8b82ca22888343.3c10b.jpg

Sanya Richards akishangilia ubingwa wa mita 400..

newsmlmmd.1bfe7d88cc04be0c6b8b82ca22888343.3c14b.jpg

Ezekiel Kemboi, akiwa na furaha tele baada ya kushinda mbio za mita 3000 kuruka viunzi, mara ya mwisho Kemboi alishinda katika olimpiki ya mwaka 2004 kule Athens.

newsmlmmd.1bfe7d88cc04be0c6b8b82ca22888343.5e13b.jpg

Machozi ya furaha kwa Phillips Idowu, baada kushinda katika kuruka chini (triple jump)

1194752309.jpg

Mshindi wa Tatu katika kuruka na upindo hakuweza kupatikana, pichani ni msindi wa kwanza akiwa na washindi wa pili.

1257843312.jpg

Namna nyingine ya kusherekea ushindi...

46390073.jpg

3191590683.jpg

Zakia Mrisho leo anaanza kibarua cha kukwalifai kwa mita 5000...

610x.jpg
 
Back
Top Bottom