Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BERLIN (AFP) - Usain Bolt will not break his 200 metres world record later on Thursday, American legend Michael Johnson said.
Johnson, who is here at the world championships commentating for the BBC, said that the 22-year-old Jamaican, who won the 100m world title in a world record of 9.58sec on Sunday, was showing signs of fatigue.
"His exertions this week have taken a lot out of him," said Johnson, whose 200m world record was broken by Bolt in Beijing last year in the Olympic final when the Jamaican ran 19.30sec.
"He's also been very busy and he looks tired. It is certainly less possible than it was a few nights ago. Also he has said that his training this year hasn't been as good as last year."
Mbaya zaidi kapitwa na Alonso Edward wa Panama aliyetumia sekunde 19:81 huku yeye akimaliza akiwa wa tatu kwa kukimbia kwa sekunde 19:85(SB). Awali alitegemewa kutoa upinzani kwa Bolt...Walace Spearmon wa US ana mvuto na ametulia, ila mbele ya Boltkwenye riadha haoni ndani..
Big up to Bolt, jamaa ni hatari kwa mbio. WR again!
Wajuaji kama kawaida walikuwa na haya ya kusema kabla ya Fainali ya mita 200 usiku huu
Kuna elements za wivu katika kauli za Micheal Johnson
Wajuaji kama kawaida walikuwa na haya ya kusema kabla ya Fainali ya mita 200 usiku huu
Kuna elements za wivu katika kauli za Micheal Johnson
Wala sio element...ni kwamba jamaa ana wivu (hatin') baada ya rekodi yake iliyokaa kwa miaka 12 kuvunjwa.
Get over it MJ...there's a new King in town...
Kuna jamaa nafanya naye kazi...aliwahi kukimbia na Bolt kwenye Jamaica national team trials....ananiambia Bolt tokea mdogo 14-16yrs alikuwa star kwao Jamaica.....http://ramblinwreck.cstv.com/sports/m-track/mtt/kinkead_kurt00.html
Mbaya zaidi kapitwa na Alonso Edward wa Panama aliyetumia sekunde 19:81 huku yeye akimaliza akiwa wa tatu kwa kukimbia kwa sekunde 19:85(SB). Awali alitegemewa kutoa upinzani kwa Bolt...
![]()
Hatimae Blanka Vlaic aibuka kidedea katika kuruka juu, baada ya kuruka mita 2.04, hata hivyo sasa anajaribu kuruka 2.10 na ameshafanya attempt mbili.... bado moja
Fainali za leo(Jioni) siku ya 7.
- Kuruka juu- Wanaume
- Kurusha Kisahani - Wanawake
- Mita 200 - Wanawake
- Mita 400 - Wanaume
Michezo mengine jioni hiyo hiyo
- Mita 800- Nusu fainali - Wanaume
- Mita 100 x 4 kupokezana vijiti- heat- wanaume
- Mita 1,500 - nusu fainali- wanawake
- Kurusha mkuki- qualification- wanaume
- Kuruka chini - qualification- wanawake
***Mchezo unaoendelea sasa ni kutembea KM 50
😀 😀
Rekodi yangu ya mita 100 niliyoiweka pale Sheikh Amir Abeid mpaka leo haijavunjwa!
Kuna mdau kanitonya hapa, kuwa ulishindwa kukamata bata baada ya kukuzidi mbio...