Hivi kwenye match ya leo kati ya Yanga na Simba ni timu gani iliingia na matokeo mfukoni?Yanga siku zote hawataki kupigiwa penalti na wakipigiwa penalti basi refa kapendelea,ila wao wakipewa penalti ni vifijo na nderemo.Yanga acheni kuingia Uwanjani na matokeo ya kushinda mambo yakigeuka lawama kwa refa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka video cliphakukuwa na penati pale, hata mwamuzi wa pembeni alikataa hakuna penati pale ila wa kati akang'ang'ana ni penati.
Athumani anataka tufanya wajingaaaaaa! mpira tumeona vzr hakuna penati pale
Ingia youtubeWeka video clip
Mwamuzi uwanja ni mmoja tu, wengine wanamsaidia.Ingia YouTube
Kawaambie TFF wenzetu wanatumia V.A.R sisi huku VAR yetu ni lines men iweje refa akatae mawazo ya msaidizi wake aliye ona tukio
Halafu yule kagere kuvaa cheni, kikuku, sijui shanga ile sio makosa
Tatizo watu hawajui historia yake. Kwa mdomo wake akikiri kupokea rushwa ya laki mbili akiwa Songea.Othmani Kadhi ni Simba kindakindaki huyo
Kweli mkuu ila leo tumeona mtoa msaada alikuwa sahihi sema mama mahaba yakamzidia kwa nyau basi akaamua kutuchinja mabingwa wa kihistoria.Mwamuzi uwanja ni mmoja tu, wengine wanamsaidia.
Msaada sio lazima uwe satisfactory
Mbona table inaonyesha umeongeza pointi 1?Huyo tunamfahamu ni Simba lialia wala hatupi shida,Simba 1 Yanga 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga ndio maana wanahaha mara Refa,mara kocha ,Simba wameheshimu matokeoHivi kwenye match ya leo kati ya Yanga na Simba ni timu gani iliingia na matokeo mfukoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi aliyeotea kabla ya kufunga?Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
Mwenye kuamua offside ni assistant refaree. Mwamuzi wa kati jukumu lake ni kutimiza uamuzi huo.Mwamuzi uwanja ni mmoja tu, wengine wanamsaidia.
Msaada sio lazima uwe satisfactory
Assistant referees.Mwenye kuamua offside ni assistant refaree. Mwamuzi wa kati jukumu lake ni kutimiza uamuzi huo.
Hii ya leo refa kawabeba Yanga, maana Yondani ilibidi apewe umeme na adhabu ndogo itolewe kwa Simba.Yanga siku zote hawataki kupigiwa Penalti na wakipigiwa Penalti basi Refa kapendelea,ila wao wakipewa Penalti ni vifijo na nderemo.Yanga acheni kuingia Uwanjani na matokeo ya kushinda mambo yakigeuka lawama kwa Refa.
Sent using Jamii Forums mobile app