Hawahawa simba wavunja vitiYanga ndio maana wanahaha mara Refa,mara kocha ,Simba wameheshimu matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawahawa simba wavunja vitiYanga ndio maana wanahaha mara Refa,mara kocha ,Simba wameheshimu matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi.....Tatizo watu hawajui historia yake. Kwa mdomo wake akikiri kupokea rushwa ya laki mbili akiwa Songea.
Mtu wa aina hii hana moral authority ya kuhukumu matukio ya mpira. Labda ataenda kwa Refa Rukiya akapate mgao.
Hayo kwenye mpira ni mambo ya kawaida, hata goli la Wolves dhidi ya Liverpool lilikataliwa na VAR lakini VVD alishika mpira kabla ya kutoa pasi ya goli na goli likastand, ni normal katika football, tukutane Mapinduzi Cup.Huyo Othman Kazi mwache kama alivyo...Baadhi yetu tunamfahamu sana na kwa kutunza heshima yake hatuwezi kuyaweka mambo yake humu...Ila ni Simba wa kutupwa...Na ni bahati mbaya mno soka ya Tanzania kuwahi kuwa na refa kama yule na ambaye sasa inaelekea amejipachika kuwa eti ni mchambuzi wa soka...what a shame...Halafu kuna mchambuzi mwingine anaitwa Dauda dah hebu niishie hapa kwani ni aibu...
Ulitegemea achambue kwa kuegemea side yako ili ukenue au?Othmani Kadhi ni Simba kindakindaki huyo
Tukio moja la offside huamuliwa na assistant referee mmoja kwenye "half" yake.Assistant referees.
Labda kwa kizungu utaelewa
Hata kama Yanga hawapendi kupigiwa penati ile ya jana taifa haikuwa penati na ile offside ya Nchimbi haikuwa offside. Ila tambueni kuwa hata watembeza bakuli wana team nzuri. wekeni neutral ground bila kubebwa mtaona matokeoYanga siku zote hawataki kupigiwa Penalti na wakipigiwa Penalti basi Refa kapendelea,ila wao wakipewa Penalti ni vifijo na nderemo.Yanga acheni kuingia Uwanjani na matokeo ya kushinda mambo yakigeuka lawama kwa Refa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Othumaan kaz akiwa anachungulia VAR yakeingia youtube
kawaambie tff wenzetu wanatumia V.A.R sisi huku VAR yetu ni lines men iweje refa akatae mawazo ya msaidizi wake aliye ona tukio
alafu yule kagere kuvaa cheni, kikuku, sijui shanga ile sio makosa
Imeanza kueleweka.Tukio moja la offside huamuliwa na assistant referee mmoja kwenye "half" yake.
Hayo kwenye mpira ni mambo ya kawaida, hata goli la Wolves dhidi ya Liverpool lilikataliwa na VAR lakini VVD alishika mpira kabla ya kutoa pasi ya goli na goli likastand, ni normal katika football, tukutane Mapinduzi Cup.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa hajui kazi yake. Mshika kibendera akinyosha kuashiria offside, maamuzi wa kati hana budi kupigia filimbi ya offside. Ideally inatakiwa kuwa hivyo na wenzetu wanafanya hivyo.Imeanza kueleweka.
Mamlaka ya mshika kibendera ni kunyoosha kibendera, mchezo utaendelea mpaka mwamuzi wa kati apulize filimbi.
Kitatokea nini asipopuliza kipyenga?
Maamuzi ni ya referee.Atakuwa hajui kazi yake. Mshika kibendera akinyosha kuashiria offside, maamuzi wa kati hana budi kupigia filimbi ya offside. Ideally inatakiwa kuwa hivyo na wenzetu wanafanya hivyo.
Sasa waamuzi wetu na miamala yao, tunajua wanachofanya.
Yes, the referee is supposed to make the final decision. No doubt about that. But, a referee can ignore the raised flag from one of his assistants at his or her peril.Maamuzi ni ya referee.
Dauda na mashavu yake kama nya**u wa chipolopolo ni gashoHuyo Othman Kazi mwache kama alivyo...Baadhi yetu tunamfahamu sana na kwa kutunza heshima yake hatuwezi kuyaweka mambo yake humu...Ila ni Simba wa kutupwa...Na ni bahati mbaya mno soka ya Tanzania kuwahi kuwa na refa kama yule na ambaye sasa inaelekea amejipachika kuwa eti ni mchambuzi wa soka...what a shame...Halafu kuna mchambuzi mwingine anaitwa Dauda dah hebu niishie hapa kwani ni aibu...
Weka video clip sio screen shot.
Wangekuwa na maamuzi wangepuliza filimbi.
Wote waliingia na matokeo mfukoni, hivi ni nani mshabiki wa Yanga au hata viongozi wa Yanga waliokua wanasema hii gemu Yanga anatoa sare Au anafungwa na simba?Hivi kwenye match ya leo kati ya Yanga na Simba ni timu gani iliingia na matokeo mfukoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inashangaza si yeye wala Azam TV waliokuwa na jibu iwapo kabla ya ile faulo hakukuwa na kosa la kuotea dhidi ya Yanga na iwapo kushindwa kuashiria faulo hiyo ndiko kulikomfanya mshika kibendera asishiriki kwenye kuonesha faulo dhidi ya Kagere. Binafsi nahisi kitendo cha mwamuzi kutoampa kadi nyekundu Yondan licha ya kutoa penalti kinatokana na nafsi yake kumgomba dhidi ya kuruhusu kule kuotea. Kazi akadai analitafuta hilo tukio kwa karibu zaidi. Badala yake akahamia kwenye swala asiloulizwa la iwapo Banka hakufanya faulo dhidi ya Tshabalala wakati wa kufunga goli la pil. Hadi leo jawabu ya kuotea huko haijatolewa na Kazi wala Azam, labda hiyo mitambo haijaona tukio lenyewe hadi sasa.Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty