Athumani Kazi, jitathmini katika uchambuzi wako wa soka

hakukuwa na penati pale, hata mwamuzi wa pembeni alikataa hakuna penati pale ila wa kati akang'ang'ana ni penati.

Athumani anataka tufanya wajingaaaaaa! mpira tumeona vzr hakuna penati pale
Ni ukweli uliodhahiri haikuwa penati,lakini tukio la Yondani kacheza faulo dhidi ya Kagere lipo wazi ,unadhani ni adhabu ipi ilikuwa sahihi kutolewa na mwamuzi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mdosi pori ni Mikia FC aka Hirizi.
 
Ushabiki kando: ILE HAIKUA PENATI HALALI

Sent using Jamii Forums mobile app
Lile goli la mkono la tambwe lilikuwa halari ?
Jinsi ile kurukushani ilivyotokea hata Mimi mtazamaji niliona kuwa ni penati.
Wakati mwingine refa anapitiwa ndio Maana wenzetu wana VAR.
Mwaka juzi mechi ya Kwanza goli la Okwi lilikataliwa, mwamuzi alidhani Kagere kaotea kumbe alipewa pasi na
Ninja.
Mlaumuni Yondani anawaghali kila mara kwa kucheza rafu za hovyo.
KMC walisawazisha kwa faulo ya kizembe ya Yondani, juzi ilibidi apewe Red kadi na faulo itengwe.
Yondani atawaghalimu sana nyie jifanyeni kama hamumuoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivocomment unanishutumu mimi kama shabiki wa Yanga, mimi nazungumzia penati ya Kagere, katika mechi ya tarehe 04/01/2020.

Hata Tambwe alishika pia na mwamuzi hakuona, hiyo imepita tunareview hii ya juz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baada ya mechi usiku ule aliropoka kuwa NI penati.....kesho yake jumapili asubuhi anakiri SI penati kabisa..HOVYO SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…