Ati ameniambia "Babe kachukue fomu ugombee Urais"

Ati ameniambia "Babe kachukue fomu ugombee Urais"

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Tokea Corona ianze hatujawahi kuonana na boyfriend wangu, Ijumaa iliyopita tumeonana. Sasa wakati tunasex akaanza kuniuliza maswali.

Ati babe ulisema mwaka huu 2020 Tanzania imafanya uchaguzi? Nikamjibu ndio. Akaniambia basi kachukue fomu ugombee Urais nitakusaidia kupiga kampeni na kuaminia babe wangu. Tanzania inahitaji mtu kama wewe ili iweze kuendelea 😍😉

Ma babe is such a bae, ameona kipaj changu ambacho hakuna mtu mwingine aliekiona. Nimeanza kufanyia kazi ushauri wake.

Au nyie mnanishauri vipi ngombee au nisigombee?
 
Gombea [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
bec14ed4-a6ee-4393-8d04-bb8b32b13e6e.jpg
 
Maneno ya wakati wa kungonoka hayo

Wengine mizuka ikiwapanda huwa wanajikuta wanatoa ahadi ambazo haziwezi kutekelezeka.

Kuna jamaa alishawahi kuniambia demu wake ata mkatia visa na ticket ya kwenda mars
 
Tokea Corona ianze hatujawahi kuonana na boyfriend wangu, Ijumaa iliyopita tumeonana. Sasa wakati tunasex akaanza kuniuliza maswali.

Ati babe ulisema mwaka huu 2020 Tanzania imafanya uchaguzi? Nikamjibu ndio. Akaniambia basi kachukue fomu ugombee Urais nitakusaidia kupiga kampeni na kuaminia babe wangu. Tanzania inahitaji mtu kama wewe ili iweze kuendelea [emoji7][emoji6]

Ma babe is such a bae, ameona kipaj changu ambacho hakuna mtu mwingine aliekiona. Nimeanza kufanyia kazi ushauri wake.

Au nyie mnanishauri vipi ngombee au nisigombee?
Huyo jamaa kwenye avatar yako anapambana na nini hapo?
 
Vipaji vya kuibukia vitandani hivyo mtakuja kutuuza hadi wapiga kula wenu.

Halafu ukute pamoja na ushauri huo hajawahi hata kujitambulisha nyumbani bali amejimilikisha tu jimbo kwa mabavu.
 
Back
Top Bottom