Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
analeta malori 600 na yeye yuko peace tu...
Who is behind kum victimize Dangote???
Lafudhi?? Wapiga deal hao..!! [emoji2]Lafudhi ya hizo sentensi zako mbili, zinanifanya nihoji uraia wako.
Kama hujui neno la kiswahili "lafudhi", basi nadhani jibu langu ntakua nimelipata.Lafudhi?? Wapiga deal hao..!! [emoji2]
Mtaisoma sana... Kila sehemu jamaa kakaza... Nakushangaa wee unatafuta lafudhi kwenye uzi..Kama hujui neno la kiswahili "lafudhi", basi nadhani jibu langu ntakua nimelipata.
Kwani Dangote naye ni mzungu? Vya bure tunawapaga Wazungu tu. Tumewapa migodi ya dhahabu, vitalu vya gesi, vitalu vya uwindaji, mashamba makubwa....... yaani almost everything
Hukuelewa nilicho hoji awali, ungelewa usinge hoji maamuzi serikali ya jamuhuri wa muungano wa Tanzania.Mtaisoma sana... Kila sehemu jamaa kakaza... Nakushangaa wee unatafuta lafudhi kwenye uzi..
Lafudhi inahusika nini kwenye hoja ya msingiKama hujui neno la kiswahili "lafudhi", basi nadhani jibu langu ntakua nimelipata.
Amesikia Sana ndio maana hakutaka kuongea na yeyote kaenda moja kwa moja mwenyewe, hiyo na msg tosha kwaoWakuchukuliwa hatua kali ni Viongozi wanao toa kauli tata zenye lengo la kuwachanganya wananchi.
Nivigumu kuelewa kama wanasimamia malengo ya Chama tawala na Serikali yams au wana agenda zao ambazo hazieleweki!! Hivi Dangote angesikia such unfortunate remarks angetufikiria nini?
Lafudhi inahusika nini kwenye hoja ya msingi