Ati Dangote alitaka Gas ya bure

Ati Dangote alitaka Gas ya bure

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,018
Reaction score
1,151
Juzi waziri alituambia hapa Dangote kafunga kiwanda kwa sababu alitaka gas ya bureee na sisi kamwe hatumpi ng'oo
Lakini kumbe jamaa wakati huo huo analeta malori 600 na yeye yuko peace tu...
Sasa tunauliza Waziri alitundanganya mara mbili, manake ile ya kwanza alikiri kudanganya...!
Who is behind kum victimize Dangote???
 
Kwani Dangote naye ni mzungu? Vya bure tunawapaga Wazungu tu. Tumewapa migodi ya dhahabu, vitalu vya gesi, vitalu vya uwindaji, mashamba makubwa....... yaani almost everything
 
Kwani Dangote naye ni mzungu? Vya bure tunawapaga Wazungu tu. Tumewapa migodi ya dhahabu, vitalu vya gesi, vitalu vya uwindaji, mashamba makubwa....... yaani almost everything

Wakuchukuliwa hatua kali ni Viongozi wanao toa kauli tata zenye lengo la kuwachanganya wananchi.
Nivigumu kuelewa kama wanasimamia malengo ya Chama tawala na Serikali yams au wana agenda zao ambazo hazieleweki!! Hivi Dangote angesikia such unfortunate remarks angetufikiria nini?
 
Ikiwa umedhaminiwa kwa cheo kikubwa ili kuleta tija katika maisha ya raia kisha ukawa hueleweki kama kishada kilichokata uzi, ukitoa matamko ya mipasho na kudai mwanzo ulidanganya huku ulitamba wewe ni mzee wa sound na bado uko katika nafasi yako hata baada ya hizi komedi, jua kua mkuu wako anaenjoy kukucontrol ndiyo maana umerukwa, mazungumzo yakafanywa huku walioshangilia kauli zako wakishangilia mazungumzo ya kuleta muafaka ambao wewe ulikua radhi kuupiga teke.

CC: Ofisi za Mkuu wa Mkoa/ wilaya Mwanza, Simbachawene na Sospeter.
 
Kuna siri kadhaa kwenye hiyo game ya Dangote wakuu. Alichofanya waziri ni kuropoka baadhi ya hizo siri. Baada ya Dangote kusarenda, hizo siri alizoropoka waziri baada ya kupata situational frustration ndizo tunazoziona uongo

Dangote alikua keshawekeza sana, kununua vifaa kama hayo malori nk.. Angeondoka angepata hasara. JPM kaendeleza sera yake ya win-win situation na ustaaz Dangote akasalimu amri!
 
Wakuchukuliwa hatua kali ni Viongozi wanao toa kauli tata zenye lengo la kuwachanganya wananchi.
Nivigumu kuelewa kama wanasimamia malengo ya Chama tawala na Serikali yams au wana agenda zao ambazo hazieleweki!! Hivi Dangote angesikia such unfortunate remarks angetufikiria nini?
Amesikia Sana ndio maana hakutaka kuongea na yeyote kaenda moja kwa moja mwenyewe, hiyo na msg tosha kwao
 
leta mada za meandeleo mambo ya siasa humu,big noo
 
Back
Top Bottom