Ati ugali ni chakula wakristo na wali ni chakula cha waislam sio!

Ati ugali ni chakula wakristo na wali ni chakula cha waislam sio!

Kavimbe jr

Member
Joined
May 9, 2023
Posts
66
Reaction score
97
Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka nimegungua hilo.

Mchele au wali na ngano huwa vinatumika sana maeneo yenye Waislam wengi. Kwa Afrika, Kaskazini mwa Afrika mchele na Ngano huwa vinaliwa sana eneo hilo. Eneo la Kaskazini lina Waislam wengi. Ukija kusini mwa Equator kuna Wakristo wengi, Eneo hilo Ugali ndio chakula kikubwa.

Hata hapa kwetu Tanzania, mikoa wenye Wakristo wengi ugali ndio chakula zao kikubwa. Na mikoa wenye Waislam wenye Waislam wengi, wali, piriani, pilau ndio chakula kikubwa.

NAWASILISHA...
 
Wapi kunalimwa michele Tanzania na hiyo mikoa majority ni wa dini ipi
 
Ugali sio chakula cha mwanadamu, wakristo jitafakirini
 
Back
Top Bottom