Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Atletico Madrid wanatarajia kuikabili Arsenal kwenye dimba la Riyadh Air Metropolitano, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions League, kuanzia saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Mechi ya marudiano (2nd leg) inatarajiwa kupigwa Jumanne Mei 5, 2026 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London, England. Mshindi wa jumla wa mtanange huu ataingia fainali ambapo atakutana na mshindi wa jumla kati ya Paris Saint-Germain na Bayern Munich.
Rekodi rasmi mashindano Ulaya

- Mechi: 5
- At. Madrid wins: 1
- Arsenal wins: 2
- Draws: 2
- Mabao:
- A. Madrid: 4
- Arsenal: 8