Atletico Madrid 1-1 Arsenal | UEFA Semi Final First Leg | Riyadh Air Metropolitano | 29 Aprili 2026

Atletico Madrid 1-1 Arsenal | UEFA Semi Final First Leg | Riyadh Air Metropolitano | 29 Aprili 2026

Unabashiri timu ipi itaondoka na tabasamu?


  • Total voters
    17
  • Poll closed .
PSG wazuri japokuwa beki zimetoboka, nadhani sababu zinapenda kushambulia zaidi.
Mkuu asante sana kujumuika na sisi kwenye mijadala kama hii ya UEFA.

Shukrani za dhati sana.
 
Arsenal watashinda hii mechi kwa kulazimisha kona na set pieces.
 
Mechi ya kugombania mshindi wa pili
 
Hamna mechi hapa huu ndio ukweli

Hata wao wenyewe wanajua kuwa wanavhocheza leo sio walichokiona jana
 
Penaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaatiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom