Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
PSG wazuri japokuwa beki zimetoboka, nadhani sababu zinapenda kushambulia zaidi.Naam, ikiwa ni mapema kabisa burudani inaanza.
Japo mimi ni Arsenal ila msimu huu PSG hakuna timu ya kumzuia asibebe ndoo ile
Hicho ndo nakimaanisha, japo watafungwa ila watafunga magoli mengi zaidi.PSG wazuri japokuwa beki zimetoboka, nadhani sababu zinapenda kushambulia zaidi.
I beg to differNaam, ikiwa ni mapema kabisa burudani inaanza.
Japo mimi ni Arsenal ila msimu huu PSG hakuna timu ya kumzuia asibebe ndoo ile
Kwa hizo beki za bayern? Nilikuwa naomba zile beki zake zije zisajiliwe mashujaa tu, kila attempt ilikuwa lazima iifikie target.I beg to differ
I strongly believe PSG anaenda kufa ujerumani.
alisikika holoholo mmoja toka jfAtletico atacheza final pamoja na PSG
Mimi ni arsenal ila atletical wakicheza kama walivyocheza na barca, tutalala na viatu.leo ni siku tutakayoshuhudia kandanda safi lakini mechi hii itaisha kwa sare