Atletico Madrid vs Barcelona

master noble

Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
10
Reaction score
4
Leo mida ya saa 3:45 usiku kutakuwa na mtanange kati ya timu tajwa hapo juu, Je ni nani ataibuka mshindi siku ya leo?
 
Tatizo mimi mshabiki wa ile timu yetu kama una- pressure shida.

Asernal bwana wananiumizaga sana....sema kipendacho roho siwezi acha..ningesha hama siku nyingi.
Ahaaa arsenal ... Leo nyie mnashinda pale mi mkeka wangu nmempa arsenal mbona mechi simple ile
 
Paulinho huyu jamaa ni bonge la usajili msimu huu. Kaja kuongeza vitu pale kati. Physics, anakaba, anafunga anashambulia. Kwa kifupi tu huyu jamaa alichelewa sana kuja camp nou.

Natabiri

Atletico 0-3 Barcelona
 
Mechi ikiisha ntakutafuta wewe Na huyo mungu wenu wa mpira mnamwita mesi


Hata cku moja cwezi muita mchezaji yoyote duniani Eti MUNGU.


Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna kinachofanananae.


Messi ni kipaji__kwa sasa hakujatokea kiumbe like King Messi tokea soka lianzishwe rasmi hapa ulimwenguni. Nitapata cha kuwahadisia wanangu kwamba "kulikuwa na mchawi wa soka duniani aitwae King Messi. From Rosario central pembezini mwa jiji la Buenos Aires nchini Argentina" ni hayo tu. Sirudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…