master noble
Member
- Oct 12, 2017
- 10
- 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo game mshindi anajulikana kabisaKuna game ya LFC vs Man U, this is the big match.
Hilo game mshindi anajulikana kabisa
Sahivi atketico wabovu sana
Ngoja tuone leo mkuuNikweli nimewaona mara kadhaa...msimu huu sio wazuri kivile...labda kwa maajabu ya soccer
Baca anashinda vizuri tu hao atletico hamna kituView attachment 609116 Leo mida ya saa 3:45 usiku kutakuwa na mtanange kati ya timu tajwa hapo juu, Je ni nani ataibuka mshindi siku ya leo?
Ngoja tuone leo mkuu
Ahaaa arsenal ... Leo nyie mnashinda pale mi mkeka wangu nmempa arsenal mbona mechi simple ileTatizo mimi mshabiki wa ile timu yetu kama una- pressure shida.
Asernal bwana wananiumizaga sana....sema kipendacho roho siwezi acha..ningesha hama siku nyingi.
Usijitetee mkuu.Atl sio wabovu aise. Unakosea sana___leo Messi anawaadhibu kama sio 2 basi 3. Wakae mkao wa kupokea hatrickSahivi atletico wabovu sana
atletico leo anashinda
Ni nani?
Mechi ikiisha ntakutafuta wewe Na huyo mungu wenu wa mpira mnamwita mesiUsijitetee mkuu.Atl sio wabovu aise. Unakosea sana___leo Messi anawaadhibu kama sio 2 basi 3. Wakae mkao wa kupokea hatrick
Mechi ikiisha ntakutafuta wewe Na huyo mungu wenu wa mpira mnamwita mesi