Kabisa, bayern ukizuia winga zao, kwisha! Kati kati sio njia yao.bayern wakawaida sana msimu huu. hii nusu ilibidi iwe juve na atletico madrid sema ndio vile juve walifanya sabu zao za kingese wakafungwa siku ile. Bayern nikuwakaba wachezaji wao wa pembeni wasiweze kupiga cros ambazo zitaleta madhara kwenye goli lako hapo lazima uwafunge tu. Kiufupi bayern ametoka,
Jana yenyewe jembe lao tegemezi pale nyuma Diego Godin hakuwapo.
Ndo wale wale wazee wa ku defence.
Sisi Man U hatutaki mpira wa namna hiyo.
Sidhan km Wenger anaweza kuja Man U.Winger akifungasha virago the Gunners ndio atakuja kufundisha french Football hapo Old Trafford. Man U itapiga mpira kama PSG.
Hii jf mpa Spain ipo mkuuu wanakosaje sasa kiwepo
Bayern watashinda kwa shida sana 2-1.
Fainal Atl vs Man City
na ndio sababu mpo nje ya top 4Ndo wale wale wazee wa ku defence.
Sisi Man U hatutaki mpira wa namna hiyo.
Tutarudi tu msimu ujao.na ndio sababu mpo nje ya top 4