Atletico Madrid wajiandae kufa nyumbani kwa Bayern Munich, Alianz Arena

Atletico Madrid wajiandae kufa nyumbani kwa Bayern Munich, Alianz Arena

bayern wakawaida sana msimu huu. hii nusu ilibidi iwe juve na atletico madrid sema ndio vile juve walifanya sabu zao za kingese wakafungwa siku ile. Bayern nikuwakaba wachezaji wao wa pembeni wasiweze kupiga cros ambazo zitaleta madhara kwenye goli lako hapo lazima uwafunge tu. Kiufupi bayern ametoka,
 
Atletico msimu wa mwaka Jana wakiwa one man down walitolewa na Real Madrid kwa tabu Sana. Msimu huu pale Camp Nou karibu mechi nzima Atletico walicheza pungufu lakini kazi ilikuwepo. Msiwafananishe Juventus na Porto, dakika 90 kwa Atletico Madrid ni kama dakika 20, wale watu wanamapafu ya mbwa. Kama timu yako inacheza na wale halafu ndio mko nyuma goli moja unaweza kupata ugonjwa wa moyo.
 
bayern wakawaida sana msimu huu. hii nusu ilibidi iwe juve na atletico madrid sema ndio vile juve walifanya sabu zao za kingese wakafungwa siku ile. Bayern nikuwakaba wachezaji wao wa pembeni wasiweze kupiga cros ambazo zitaleta madhara kwenye goli lako hapo lazima uwafunge tu. Kiufupi bayern ametoka,
Kabisa, bayern ukizuia winga zao, kwisha! Kati kati sio njia yao.
 
Ndo wale wale wazee wa ku defence.

Sisi Man U hatutaki mpira wa namna hiyo.

Winger akifungasha virago the Gunners ndio atakuja kufundisha french Football hapo Old Trafford. Man U itapiga mpira kama PSG.
 
Sipendi kujiita mtabiri na simsemi Atletical Madrid vibaya, naamini game ya marudiano kwa uchache atakula 3 na hivyo ajivute vizuri. Nimesema yangu
 
bayern hii kiwango kimeshuka sana,rejea robo fainali,wameitoa benfica kwa tabu sana,ujerumani walishinda goli moja bila na ugenini matokeo yalikuwa ni sare ya magoli mawili kwa mawili,kwa hiyo utaona pia kuwa bayern wanafungika
 
bayern wanafungwa tuu arena nini ule msimu real madrid anacheza fainali na Atletico alimfunga bayern santiago goli moja arena akaenda kula Nne kwa bila..
 
Real madrid wanaomba wacheze fainali na bayern na si Atletico hakuna mtu alietamani kucheza na hao mbwa mwitu...makocha wa timu zote wanakili kuwafunga hawa jamaa ufanye kazi mimi na wewe tunaojua tuu ukawa na ccm ndio tunasema atletico wabovu..
 
Back
Top Bottom