Atletico Madrid wajiandae kufa nyumbani kwa Bayern Munich, Alianz Arena

Atletico Madrid wajiandae kufa nyumbani kwa Bayern Munich, Alianz Arena

bayern wana mtu anaelijua goli kama Suarez...achilia mbali Neymar na messi walitafuta goli moja iwe mbili moja waende extra time ilishindikana wakaanza kugongesha mabeki mipira katika mikono ili wapate tuta refa aligoma hii ni Uefa baba utafute goli lionekane lisilo na mizengwe...
 
Beki za atletico nimezipenda bure hasa huyu mtu anaitwa Filip Luis, jamaa wanakaba hatari sn
 
Nawakubali Atletico Madrid lakini Alianz Arena ndio patamu, mtakapoenda Ujerumani mfunge mkanda vzr maana hamtatoka mkiwa hai.
Umedanganyika sana , naweka mzigo , Bayern anakufa zaidi ya goli moja , chukua hii mkuu , enzi za bayern , barca , real madrid zimekwisha .
 
Back
Top Bottom