Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
Kwa mamlaka niliypojipa mwenyewe (naomba msiniulize lini na wapi) na kwa kulinda heshima ya ndoa zinazofungwa hapa chit chat kila siku, mimi Voice of Wisdom napendekeza marekebisho yafuatayo katika sheria ya ndoa ya jamhuri ya chit chat sehemu ya ukaguzi.
Sheria ya zamani ya mwaka 2006 iliyofanyiwa marekebisho yake madogo mwaka 2010 na Chief Judge Mheshimiwa Rutta ina mapungufu na haikidhi mahitaji ya wakati na pia haendani na kasi ya ongezeko la ndoa zinazotangazwa hapa chit chat kila siku.
Hivyo basi baada ya kuridhia mimi na halmashauri ya yangu ya Voice of Wisdom marekebisho yafuatayo yamependekezwa yafanyike katika sehemu hii ya sheria ya ukaguzi
Angalizo: Hakuna mkaguzi atakayeruhusiwa kumkaguwa mkaguliwa kama hayupo na my wife wake wakati wa ukaguzi
Mkaguzi yeyote lazima awe na ndoa isiyokuwa na mizengwe kama ya................(jazeni wenyewe, sitaki ugomvi mimi)
Kila anayetaka kuwa mkaguzi wa wakaguliwa atalazimika kuandika wasifu wake hapa jamvini na wanajamvi watamkubali au kumkataa
Kama wakaguzi wote watakuwa hawapo kutokana na majukumu au kuuguliwa au kuugua mkaguzi mkuu atawateuwa wakaguzi wa muda ili kuepuka ndoa bila ukaguzi kama inavyotaka kutokea kwa ndoa inayopingwa sana ya Mh Ruttashobolwa wakauguzi wa muda lazima wawe na sifa zote za kufanya ukaguzi.
napendekeza mabadiliko haya yaanze kufanya kazi baada ya kupata baraka za Judgement Kipipi, Baba V, Babu Asprin,Preta, CHief Judge Ruttashobolwa, Erickb52, Mamndenyi, FirstLady1 Filipo, nitonye, Arushaone Bishanga ,BADILI TABIA, Kongosho,Madame B, Kaizer, platozoom, Eiyer Young cacico Remmy Vin Diesel Nicas Mtei, BAGAH,marejesho noahism passion lady Mentor, Chilli gfsonwin snowhite Jiwe Linaloishi Arabela YNNAH Zion Daughter tedo Mr Rocky watu8 na AshaDii
Nawasilisha

- Mkaguzi: Mkaguzi hatakuwa mmoja tena kama ilivyokuwa hapo awali, hi kutokana na ukweli kuwa kuwepo kwa ndoa nyingi zinazotangazwa kila baada ya masaa kadhaa hivyo kupelekea ofisi ya mkaguzi kuwa na majukumu yasiyoisha na hii imepelekea mkaguzi aliyeko kuwa na mgogoro wa ndoa na my wife wake kwani muda wote anakagua na akifika nyumbani yupu hoi bin mfu. hivyo basi
- Kuwepo na la jozi tatu (ndoa tatu halali) za wakaguzi ambao watakuwa chini ya mkaguzi mkuu ambaye ndiye mkaguzi wa sasa, na wakaguzi hawa watachaguliwa na chitchaters wenyewe baada ya wao kuomba na kutoa sifa zao hapa jamvini. Sababu ya kuweka jozi ni kuepuka uchakachauaji ambao umekuwa ukifanyika ili kuweza kuwahudumia wanajamvi wengi. na uchakachuaji huu umepelekea ndoa nyingi kufungwa na hatimaye kuvunjwa muda mfupi jambo ambalo si sawa kwa maadili ya jamhuri ya chitchat. Sababu nyingine ya kuwepo kwa jozi (ndoa inayotambulika na chitchat) ni ili kuepuka mkaguliwa/mkaguzi kuchakuchuana wakati wa ukaguzi.