Attitude ya Harmonize yafikisha views Million 3 ndani ya masaa 27

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Wimbo wa attitude wa Harmonize yafikisha views million 3 ndani ya masaa 27 you tube. Hii ni record ya aina yake inawekwa na Harmonize. Kama anatania vile lakini ndio anachukua kijiti Cha king of bongofleva kwasasa. Tumsuport jeshi ili tupate kuongeza international artist from Tanzania.
 
Duh! Naona kichapo wanachotembeza Konde Gang kwa Wasafi sio cha nchi hii[emoji28][emoji28][emoji28]

Hizi ndo ngoma zinazo trend Youtube kwa Tz. WCB wanatafutwa kwa tochi[emoji13][emoji13]
 
Duh! Naona kichapo wanachotembeza Konde Gang kwa Wasafi sio cha nchi hii[emoji28][emoji28][emoji28]

Hizi ndo ngoma zinazo trend Youtube kwa Tz. WCB wanatafutwa kwa tochi[emoji13][emoji13]View attachment 1763180
Mnachekesha sana sana. Mimi sio mpenzi wa nyimbo za kigogo. Lakini leo nimetazama mwenendo wa YouTube. Nimekuta winbo unao seems umeshuka baada ya watendaji wa YouTube kupunguza watazamaji waliohurudia mara nyingi. Na kuwabakisha kwa wale walio tazama maramoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…