Yeah man, money can never buy happiness. Tatizo ni kwamba alimwamini kupita kiasi huyo mtu aliyemtibua.Hapa ndio naamini pesa si kila kitu kwa mwanadamu, maana pesa anayo lakini hana raha na pesa zake. Tuombeni Mungu awe ndani yetu then kila kitu kitaenda vizuri.
Usimponde sana aisee Evelyn Salt, mheshimiwa ni mwimbaji mzuri tu mbona!Sijawahi hata kuwaza kusikiliza nyimbo zake sionagi cha maana bora nimsikilize kingwendu
Pengine, theory yako ina chembe ya substance maana haikutakiwa baba yetu apoteze mali yake kirahisi kama ilivyokuwa imepangwa!me siamini kuwa huyo mama eti amekimbiwa kwel, naamini tu kuna kamchezo kamefanyika ili tu kuwazuga watz na chakula kibaki kua cha baba rizi
Una maana gani client3?Unazungumzia huo wimbo?Nikukumbushe hivi: Alipatwa na jambo zito la dharura asilolitegemea.Badala ya kujikunja kwa huzuni na masikitiko,akatunga wimbo wa dharura wa kujiliwaza.Wimbo wa aina hiyo huwezi kuulinganisha na wa Diamond unaoandaliwa kwa muda mrefu.Wimbo wa Vicky umekaa kama ulivyo kwa sababu hakupanga angeimba wimbo wa namna hiyo siku moja.huwezi kuamini hii imefanywa na mbunge.
Sawa lakini yeye alipania ndoa kwanza princess sayuni.Hakupata muda mrefu wa kuandaa huo wimbo, ndo maana uko hivo.Huo wimbo kama kwaya ndo ajipange maisha si ndoa tu kina mengine
No Salamander, don't be so unfair!Nyimbo mbofu mbofu kama hii, aibu hata kumwoa
Mi simpondi wala, namkubali sana tu mheshimiwa wa ukweli sanaUsimponde sana aisee Evelyn Salt, mheshimiwa ni mwimbaji mzuri tu mbona!
kweli moyo wa mtu kichaka. hivi Charles hajaonekanaga