Atumia Busara ya Kujifariji na Kutuliza Roho Baada ya Mambo Kwenda Kombo

Atumia Busara ya Kujifariji na Kutuliza Roho Baada ya Mambo Kwenda Kombo

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Mheshimiwa Mbunge wa viti maalumu Vicky Kamata amefaulu kuweka stress zote pembeni baada ya mipango yake ya kufunga ndoa kutibuka.

Ametunga wimbo wa kumkejeli aliyemtapeli kimapenzi na kuwashukuru waliomfariji.

Pata wimbo huo

Last edited by a moderator:
Hapa ndio naamini pesa si kila kitu kwa mwanadamu, maana pesa anayo lakini hana raha na pesa zake. Tuombeni Mungu awe ndani yetu then kila kitu kitaenda vizuri.
 
Hapa ndio naamini pesa si kila kitu kwa mwanadamu, maana pesa anayo lakini hana raha na pesa zake. Tuombeni Mungu awe ndani yetu then kila kitu kitaenda vizuri.
Yeah man, money can never buy happiness. Tatizo ni kwamba alimwamini kupita kiasi huyo mtu aliyemtibua.
 
Sijawahi hata kuwaza kusikiliza nyimbo zake sionagi cha maana bora nimsikilize kingwendu
 
kweli moyo wa mtu kichaka. hivi Charles hajaonekanaga
Sidhani kama keshaonekana HOE.Si ajabu kaenda kwa mwingine mwenye hela amdanganye kama huyu.Ni kawaida ya playboys.Sijui kwa nini mheshimiwa alishindwa kumstukia
 
me siamini kuwa huyo mama eti amekimbiwa kwel, naamini tu kuna kamchezo kamefanyika ili tu kuwazuga watz na chakula kibaki kua cha baba rizi
 
me siamini kuwa huyo mama eti amekimbiwa kwel, naamini tu kuna kamchezo kamefanyika ili tu kuwazuga watz na chakula kibaki kua cha baba rizi
Pengine, theory yako ina chembe ya substance maana haikutakiwa baba yetu apoteze mali yake kirahisi kama ilivyokuwa imepangwa!
 
Huo wimbo kama kwaya ndo ajipange maisha si ndoa tu kina mengine
 
huwezi kuamini hii imefanywa na mbunge.
Una maana gani client3?Unazungumzia huo wimbo?Nikukumbushe hivi: Alipatwa na jambo zito la dharura asilolitegemea.Badala ya kujikunja kwa huzuni na masikitiko,akatunga wimbo wa dharura wa kujiliwaza.Wimbo wa aina hiyo huwezi kuulinganisha na wa Diamond unaoandaliwa kwa muda mrefu.Wimbo wa Vicky umekaa kama ulivyo kwa sababu hakupanga angeimba wimbo wa namna hiyo siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Kuimba ni kipaji na ni kazi za watu, sasa huyu kwa kweli tangu mara ya kwanza tu kuingia gemuni alifosi tu.

Hajui kuimba kabisaa hata imchukue miaka kujiandaa!! sema tu namsifu kwamba ni mojawapo ya wanawake waliotumia vizuri VIUNGO vyao vya uzazi!!
teh teh teh!!
 
Back
Top Bottom