Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,577 Reaction score 5,587 Jul 25, 2025 #21 Hhga Hilo halina shaka, jamaa niwatu wachangamfu sana, Sio Ruvuma tu mpaka uko vijiji vya Lind wamejqzana
Hhga Hilo halina shaka, jamaa niwatu wachangamfu sana, Sio Ruvuma tu mpaka uko vijiji vya Lind wamejqzana
Mstahiki Mea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 6,559 Reaction score 12,518 Jul 25, 2025 Thread starter #22 Ndoa za mitara zina changamoto
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 26, 2025 #23 Roho mbaya sana daah R.I.P Angel's
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 26, 2025 #24 Kuna mda hakikisha kama una mke uwe na mmoja tu hii ya kuwa na wake wengi ni matatizo.Yani hata siku umezeeka lazima wapishane upande
Kuna mda hakikisha kama una mke uwe na mmoja tu hii ya kuwa na wake wengi ni matatizo.Yani hata siku umezeeka lazima wapishane upande