Hapo vip!!
Katika uchunguzi wangu nimegundua mke mdogo katika familia ananguvu sana na anaogopeka sana na wanawake wengine pamoja na watoto wao.
Na kama mwanamke wako anakusumbua na hakuheshimu dawa yake jaribu kumuongezea mwezake hapo utakuwa umempiga zaidi ya kumpiga makofi mara ngumi na...
Maisha ya wanawake wa kiislamu wa kitanzania yana mateso sana (hivi unajua sio kila nchi za kiislamu huruhusu hili).
Sasa wameuana wakigombea kulala kwa mume, mke mkubwa akiwapiga stop wenzake kuwa yeye ndio mkubwa asali alambe yeye kwa uhuru wengine anawapangia.
USSR
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.