DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubinadamu.
Pia nawapa pole wanafamilia ndugu na jamaa kwa msiba huu mzito , Mungu akawe mfariji wenu .