Sikuona sababu ya kumtenga mke mkubwa wa Ndugai msibani

Sikuona sababu ya kumtenga mke mkubwa wa Ndugai msibani

Mzee baada ya kitoboa akaona mke si presentable, akaamua kumpiga chini akamchukua mtoto msomi Fatu. Haya ndiyo maisha ya sisi waafrica, ukifanikiwa unatafuta mtu wa kwenda na wewe unasahau yule mliyeanza naye kuweka godoro chini chumba cha kupanga choo foleni.- hii mbaya tujisahihishe.
Ndio marehemu alikueleza kuwa hizi ndio sababu za kuachana mke wake wa kwanza?
 
Kwani Sheria za nchi zinasemaje?..Mke rasmi wa Ndugai ni mke mwenye cheti cha Ndoa..Tofauti na hapo ni kusigina Sheria..Hawa wengine ni michepuko au mahawara ambao hawajulikani serikalini...
Kwenye swala la Mheshimiwa:
Tujiulize yupi ni mke sahihi wa Ndugai..ni Stella au Fatma...Yupi mwenye cheti cha Ndoa na Ndugai..Je Fatma alifunga Ndoa kisheria na Ndugai au walikuwa wanaishi pamoja tu Kama mahawara..Je Ndugai ameshawahi kuvunja Ndoa ya kwanza na bi Stella kisheria...Kama hapana basi Sheria ifuate mkondo wake..Mke wa kwanza ndiye mke halali wa Ndugai
Nimefuatilia nimeshindwa kujua kwanini bunge limemtambua mke wa pili na kumuacha mke wa kwanza ambaye ndiye alifunga Ndoa na marehemu..Je Spika ambaye ni mwanasheria hakulifahamu hili...au Kuna Jambo lingine hatulijui tukaye kimya..Inabidi bunge watuambie Watanzania kwanini bunge halijamtambua mke mwenye cheti cha Ndoa(kulingana na maelezo aliyotoa mwenyewe-huyo mke alipohojiwa na kituo kimoja cha habari) likamtambua mke wa pili.
Yote hayo mhusika alikuwa anayajua na alikuwa msimamizi wa hizi Sheria, kwanini yeye asingepigania haki mapema? Bunge sio lakulaumiwa itakuwa huyo ndiye aliyetambulishwa na muhusika , sasa mnampangia marehemu jamani wakati yeye ndiye alikuwa akipata furaha yake wandugu?

Ukiachwa siku kaondoka hata msiba sihudhurii kabisa maana wanakunanga kama mtu ulikuwa unampenda Lilia kwako basi.
 
Unasimama kudai nini? Utapinga kuwa baba Yako hakuoa mwanamke mwingine? Utaonekana kituko wewe na huyo mama Yako hapo msibani
Hata wewe shangaa, yaani badala yakudai chako mapema eti mtu kafa ndiyo nipeleke kwato? Mie hata msibani siendi, kama hakunipenda akiwa hai hapo kalala atanipenda? Aende salama tu, kama kulia nitamlilia kwangu basi.
 
Kabisa , kama mke wa Buhari ex president wa Nigeria ambae walishaachana na Buhari, Eti baada ya mwenzie kufa akaanza kujitokeza kutoa taarifa kadhaa wakati hajawahi kwenda kumuona wakati alipolazwa hospital,
Ndio familia ikaweza wazi kuwa sio mke wa alihemu na Kwamba walishaachana kitambo tu na Kwamba wampuuze na taarifa zake.
Aibu zakujitafutia
 
Faru Job alikuwa na mihasira ya kifalafala sana kumbe stress za mambo ya kifamilia kutokukaa sawa; but vyombo sijui vinafanyaje kazi siku hizi, mtu familia imemshinda anapewa mhimili muhimu kama Bunge aongoze kweli???

Bi.Chura naye pamoja na kudanga na vijana wadogo naye anapewa serikali, seriously?? Mwanae wa kike juzi tumesikia ana waume wawili, na mme mmoja ni Waziri nalo kama boya tu limekubali huo ujinga pumbavu🚮🚮🚮🚮
munajikusanyia dhambi za bure kwa uzushi wenu
 
Huyo wa pili ana ndoa nae? Mwenye ndoa ndiye mwenye haki zote kisheria.
Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa ya Tz, kuna aina tatu (3) za ndoa hapa Tanzania:-
1. Ndoa za Kidini.
2. Ndoa za Kiserikali.
3. Ndoa za Kimila, hapa hakuna Cheti Cha Ndoa kinachotolewa na Serikali.

Ndoa zote hizo ni halali kwa mujibu wa Sheria.
Katika muktadha huo, naweza kusema (kujibu swali lako) kwamba, ndiyo, huyo mke wa pili alikuwa na ndoa na marehemu Job Ndugai.

Aidha, ndoa tafsiri yake siyo cheti bali ni muunganiko wa hiyari Kati ya mume na mke.
Vile vile, nchini Tanzania uwepo wa ndoa Kati ya mume na mke hauthibitishwi kwa kuwepo kwa cheti Cha ndoa tu peke yake, hata ushahidi wa Mazingira wa Watu hao kuishi pamoja kwa muda fulani pia ni uthibitisho tosha wa kwamba Watu hao ni Wanandoa.
 
Binafsi sipendi mijadala kama hii nashangaa kwann inapewa nafasi kubwa jamii forum !!

mijadala kama hii inafanya Wanaume wadhidi kuchukia ndoa au cheti cha ndoa. !!

Uku mwanamke nayeye akisamini cheti cha ndoa kama ndio itimisho la kila kitu kwake .!!

Madhara yake kike wanakuwa jeuri sana kwenye ndoa badala ya kujituma zaid!!

madhara makubwa hawapiganii ndoa zao zisivunjike kama miaka ya nyuma kutoa nafasi ya kutatua tatizo kwa unyenyekevu badala yake Kwake lengo ni mali tu.!!

Ndiomana tatizo linakuwa kubwa kila siku

Kwasasa ukifanya utafiti ndoa zimekuwa chache pande zote za Dini na yote yanatokana na migogoro ndoa ya mali kufanywa pia habari ya kuwekwa kwenye MEDIA ¿¿¿

Ukweli tatizo kubwa sana mabint wachanga ndio wanaenda kulipia hii migogoro ya sasa ya ndoa leo sio ajabu tena mitaani kuna kike ndoa hawazijuu na miaka inawatupa mkono!!!

kwa kukosa ndoa kunadhidi kufifisha uhai wa ndoa pamoja na watoto wenye kupata malezi bora kutoka kwa wazazi wawili !!

ni sikitiko kuu kwetu sote mana sisi tumelelewa kwenye ndoa za wawili lkn sisi tunachangia kubomoa misingi ya ndoa na mustakabali wake..¿¿

Jambo ni lao wenyewe wanafamilia iwe jema ni lao baya ni lao !!

Wenyewe wana mila zao Dini zao tuwaachie wenyewe. ✍️

ndugu zangu pengine tunacheza ngoma hatuijui !!

sisi tutangaze ndoa zikifungwa kwa kelele zote lkn ndoa ikitokea migogoro yoyote iwe fumanizi iwe kifo kuusu mali iyo migogoro tunyuti kimya. !!

Zababu tunazidi kumonyonyoka kitabia jamii ya kike na kiume kama inavidhiana kabla ya ndoa na baada ya ndoa !!

mali kwanza upendo O bado Ndoa ni furaha !!

au watu wataendelea kuziona janga kubwa maishani pepo baya.
Mshauri mwingine huyu! Hebu waache watu waishi maisha yao.
 
Mkuu, acha povu. Ndoa inaweza kuvunjwa kama kutakuwa na uthibitisho kuwa wana ndoa hawatakuwa na uwezekano wa vikojoleo vyao kugusana milele. Au kama mmoja akikitoa kikojoleo chake kwa mtu baki na ikathibitishwa kuwa ni kweli, hapo ndoa chali. Naamini nimethibitisha kuwa cheti ni karatasi tu (kama samia alivyosema Katiba ni...)
Hujielewi!
 
Kwani Sheria za nchi zinasemaje?..Mke rasmi wa Ndugai ni mke mwenye cheti cha Ndoa..Tofauti na hapo ni kusigina Sheria..Hawa wengine ni michepuko au mahawara ambao hawajulikani serikalini...
Kwenye swala la Mheshimiwa:
Tujiulize yupi ni mke sahihi wa Ndugai..ni Stella au Fatma...Yupi mwenye cheti cha Ndoa na Ndugai..Je Fatma alifunga Ndoa kisheria na Ndugai au walikuwa wanaishi pamoja tu Kama mahawara..Je Ndugai ameshawahi kuvunja Ndoa ya kwanza na bi Stella kisheria...Kama hapana basi Sheria ifuate mkondo wake..Mke wa kwanza ndiye mke halali wa Ndugai
Nimefuatilia nimeshindwa kujua kwanini bunge limemtambua mke wa pili na kumuacha mke wa kwanza ambaye ndiye alifunga Ndoa na marehemu..Je Spika ambaye ni mwanasheria hakulifahamu hili...au Kuna Jambo lingine hatulijui tukaye kimya..Inabidi bunge watuambie Watanzania kwanini bunge halijamtambua mke mwenye cheti cha Ndoa(kulingana na maelezo aliyotoa mwenyewe-huyo mke alipohojiwa na kituo kimoja cha habari) likamtambua mke wa pili.

Msaada wa kupata video clips za maelezo ya mke mkubwa kuwa walifunga ndoa na Ndugai mwaka 1988 kama alivyosema mtoto mkubwa wa Ndugai ambaye video clip imeondolewa sehemu hiyo
 
Kutengana sio kuachana
Ni kweli kabisa kwamba Kutengana siyo Kuachana. Lakini huyo Mwanamke wa kwanza hawezi kurudi tena kwa mumewe eti kwa ajili ya kufuata Mali tu ambazo kimsingi hajawahi kushiriki katika kuzichuma Mali hizo. Kurudi kwa mumewe inaruhusiwa, lakini angefanya hivyo wakati mumewe huyo akiwa bado yupo hai au Kama angerudi kwa ajili ya kufuata Mali ambazo yeye huyo Mwanamke amezitolea jasho lake katika kuzichuma Mali hizo. Hawezi kurudi Sasa hivi wakati mumewe tayari amefariki. Kitendo chake Cha kutaka kurudi kwa mumewe marehemu kwa wakati huu ni uthibitisho wa wazi kabisa kwamba huyo mama ni tapeli na dhulumati, anataka kudhulumu Mali za marehemu ambazo kimsingi yeye hajashiriki katika kuzichuma. Hivyo, kitendo chake hicho Cha kutaka kurudi kwa mumewe wakati huu kinaonyesha wazi kabisa kwamba ANA NIA OVU huyo Mwanamke ya kutaka kudhulumu Mali za Marehemu.
 
Back
Top Bottom