Sikuona sababu ya kumtenga mke mkubwa wa Ndugai msibani

Mkuu,
Kati ya hao wake wawili, kwa taarifa ulizonazo wewe, yupi Mwenye cheti cha ndoa na yupi mwenye talaka??
 
Sasa kama alikuwa tayari nje ya mfumo wa ndoa nikitu gani cha ziada? Mtu asikupe kipaumbele akiwa hai akifariki ndiyo ukimbilie kupewa urithi mmm, haya hizo mali kachuma na huyo mke wa pili huyo wazamani akadai nini!
Kwani Sheria za nchi zinasemaje?..Mke rasmi wa Ndugai ni mke mwenye cheti cha Ndoa..Tofauti na hapo ni kusigina Sheria..Hawa wengine ni michepuko au mahawara ambao hawajulikani serikalini...
Kwenye swala la Mheshimiwa:
Tujiulize yupi ni mke sahihi wa Ndugai..ni Stella au Fatma...Yupi mwenye cheti cha Ndoa na Ndugai..Je Fatma alifunga Ndoa kisheria na Ndugai au walikuwa wanaishi pamoja tu Kama mahawara..Je Ndugai ameshawahi kuvunja Ndoa ya kwanza na bi Stella kisheria...Kama hapana basi Sheria ifuate mkondo wake..Mke wa kwanza ndiye mke halali wa Ndugai
Nimefuatilia nimeshindwa kujua kwanini bunge limemtambua mke wa pili na kumuacha mke wa kwanza ambaye ndiye alifunga Ndoa na marehemu..Je Spika ambaye ni mwanasheria hakulifahamu hili...au Kuna Jambo lingine hatulijui tukaye kimya..Inabidi bunge watuambie Watanzania kwanini bunge halijamtambua mke mwenye cheti cha Ndoa(kulingana na maelezo aliyotoa mwenyewe-huyo mke alipohojiwa na kituo kimoja cha habari) likamtambua mke wa pili.
 
Kuna kama evangelical na huyu jamaa yako, wanakaza fuvu ati mke mkubwa! Unajua kwanini waliachana? Mtu nipo mzima hatupo wote, nikishakufa ndipo unajisogeza. Ujombani unaoneshwa na mama yako.

Marehemu kabla hajafa kasema huyu ndiye mke wake kipenzi! Wewe ni nani kumchagulia leo hii mke. Cheti cha ndoa ni karatasi ile! Tuache ushabiki wa kijinga. Mke ni yule anayekuhudumia kike
hapa umeongea kitu cha kweli kabisa
Mke ni yule anayekuhudumia kike
 
Binafsi sipendi mijadala kama hii nashangaa kwann inapewa nafasi kubwa jamii forum !!

mijadala kama hii inafanya Wanaume wadhidi kuchukia ndoa au cheti cha ndoa. !!

Uku mwanamke nayeye akisamini cheti cha ndoa kama ndio itimisho la kila kitu kwake .!!

Madhara yake kike wanakuwa jeuri sana kwenye ndoa badala ya kujituma zaid!!

madhara makubwa hawapiganii ndoa zao zisivunjike kama miaka ya nyuma kutoa nafasi ya kutatua tatizo kwa unyenyekevu badala yake Kwake lengo ni mali tu.!!

Ndiomana tatizo linakuwa kubwa kila siku

Kwasasa ukifanya utafiti ndoa zimekuwa chache pande zote za Dini na yote yanatokana na migogoro ndoa ya mali kufanywa pia habari ya kuwekwa kwenye MEDIA ¿¿¿

Ukweli tatizo kubwa sana mabint wachanga ndio wanaenda kulipia hii migogoro ya sasa ya ndoa leo sio ajabu tena mitaani kuna kike ndoa hawazijuu na miaka inawatupa mkono!!!

kwa kukosa ndoa kunadhidi kufifisha uhai wa ndoa pamoja na watoto wenye kupata malezi bora kutoka kwa wazazi wawili !!

ni sikitiko kuu kwetu sote mana sisi tumelelewa kwenye ndoa za wawili lkn sisi tunachangia kubomoa misingi ya ndoa na mustakabali wake..¿¿

Jambo ni lao wenyewe wanafamilia iwe jema ni lao baya ni lao !!

Wenyewe wana mila zao Dini zao tuwaachie wenyewe. ✍️

ndugu zangu pengine tunacheza ngoma hatuijui !!

sisi tutangaze ndoa zikifungwa kwa kelele zote lkn ndoa ikitokea migogoro yoyote iwe fumanizi iwe kifo kuusu mali iyo migogoro tunyuti kimya. !!

Zababu tunazidi kumonyonyoka kitabia jamii ya kike na kiume kama inavidhiana kabla ya ndoa na baada ya ndoa !!

mali kwanza upendo O bado Ndoa ni furaha !!

au watu wataendelea kuziona janga kubwa maishani pepo baya.
 
Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.

Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.

Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.

Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.

Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.

Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu.
Walitengana kabla hajafa, sasa atarudije kwa ndugai wakati keshakufa?
 
Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.

Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.

Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.

Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.

Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.

Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu.
Mke mdogo ni RAS ndiyo maana anapewa Airtime.
 
MKe wa spika anatakiwa kuendelea kulipwa posho mpaka mwiho wa maisha yake.

Je wote wawili watakuwa wanalipwa?
 
Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.

Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.

Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.

Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.

Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.

Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu.
Kama ana watoto wakubwa, wasomi kutawaka moto.
Huyo mdogo anweza kuishia kwenye showoff
 
Acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu au wamekwambia kuna shida au wewe ndiye msemaji wao?.
 
Kwani Sheria za nchi zinasemaje?..Mke rasmi wa Ndugai ni mke mwenye cheti cha Ndoa..Tofauti na hapo ni kusigina Sheria..Hawa wengine ni michepuko au mahawara ambao hawajulikani serikalini...
Kwenye swala la Mheshimiwa:
Tujiulize yupi ni mke sahihi wa Ndugai..ni Stella au Fatma...Yupi mwenye cheti cha Ndoa na Ndugai..Je Fatma alifunga Ndoa kisheria na Ndugai au walikuwa wanaishi pamoja tu Kama mahawara..Je Ndugai ameshawahi kuvunja Ndoa ya kwanza na bi Stella kisheria...Kama hapana basi Sheria ifuate mkondo wake..Mke wa kwanza ndiye mke halali wa Ndugai
Nimefuatilia nimeshindwa kujua kwanini bunge limemtambua mke wa pili na kumuacha mke wa kwanza ambaye ndiye alifunga Ndoa na marehemu..Je Spika ambaye ni mwanasheria hakulifahamu hili...au Kuna Jambo lingine hatulijui tukaye kimya..Inabidi bunge watuambie Watanzania kwanini bunge halijamtambua mke mwenye cheti cha Ndoa(kulingana na maelezo aliyotoa mwenyewe-huyo mke alipohojiwa na kituo kimoja cha habari) likamtambua mke wa pili.

Bunge linamjua marehemu vizuri. Ndugai mwenyewe alilitambulisha bunge kwamba salma ndio mke wake. Na wabunge wote ni mashahidi,

Hivyo bunge kumkataa Salma ni kumpinga marehemu
 
Kwani Sheria za nchi zinasemaje?..Mke rasmi wa Ndugai ni mke mwenye cheti cha Ndoa..Tofauti na hapo ni kusigina Sheria..Hawa wengine ni michepuko au mahawara ambao hawajulikani serikalini...
Kwenye swala la Mheshimiwa:
Tujiulize yupi ni mke sahihi wa Ndugai..ni Stella au Fatma...Yupi mwenye cheti cha Ndoa na Ndugai..Je Fatma alifunga Ndoa kisheria na Ndugai au walikuwa wanaishi pamoja tu Kama mahawara..Je Ndugai ameshawahi kuvunja Ndoa ya kwanza na bi Stella kisheria...Kama hapana basi Sheria ifuate mkondo wake..Mke wa kwanza ndiye mke halali wa Ndugai
Nimefuatilia nimeshindwa kujua kwanini bunge limemtambua mke wa pili na kumuacha mke wa kwanza ambaye ndiye alifunga Ndoa na marehemu..Je Spika ambaye ni mwanasheria hakulifahamu hili...au Kuna Jambo lingine hatulijui tukaye kimya..Inabidi bunge watuambie Watanzania kwanini bunge halijamtambua mke mwenye cheti cha Ndoa(kulingana na maelezo aliyotoa mwenyewe-huyo mke alipohojiwa na kituo kimoja cha habari) likamtambua mke wa pili.
Spika ataaply sheria atakapoona kuna mtu amedoubt.
 
Back
Top Bottom