Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Umeelewa ila unataka ligi,, fuatilia!!fatilia ndio nini?
Umeelewa ila unataka ligi,, fuatilia!!fatilia ndio nini?
Wakati alipokuwa hai, aliwahi kutambulishwa Bungeni au kwenye hafla ya chama au Serikali kama Mke wa Spika Ndugai?Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu.
Ametengwa kivipi mkuu?kwamba alikuja msibani halafu wakamfukuza au imekuwaje?Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu.
Huyo mke mkubwa ndio alikua wa kwanza kumkana mwenzie hamjui,alishaleta tamaa zake za kichaga ikiwa zaidi ya miaka 30 wametengana na ndugaiMke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubidamu.
Job alishatengana nae kitambo,mama anataka kuleta ukauzu tu wa kikaskazini 😂,halafu yy ndio alikua wa kwanza kudai hamtambui mke mdogo 😂Mambo ya familia za watu tuwaachie wao wayamalize sio kila sehemu kunahitaji busara za sisi wanajamii.
Una uhakika gani mke wa kwanza aliendelea kuwa mke wa Job? Kwa jinsi maisha yalivyo na kwa namna job alivyomtambulisha bungeni mke mdogo huenda mahusiano na mke mkubwa ya kimapenzi yalishakufa walibaki kulea watoto.
Hiyo familia inaishi kupitia kodi zetu kwahiyo we are responsible na kujua kinachoendelea .ushawishi mpaka kwenye maisha ya familia za watu
Ona sasa.Job alishatengana nae kitambo,mama anataka kuleta ukauzu tu wa kikaskazini 😂,halafu yy ndio alikua wa kwanza kudai hamtambui mke mdogo 😂
Sentensi nzuri ni hiyo "kuna mambo mengi hatuyajui tusishauri sana."Kwani Sheria za nchi zinasemaje?..Mke rasmi wa Ndugai ni mke mwenye cheti cha Ndoa..Tofauti na hapo ni kusigina Sheria..Hawa wengine ni michepuko au mahawara ambao hawajulikani serikalini...
Kwenye swala la Mheshimiwa:
Tujiulize yupi ni mke sahihi wa Ndugai..ni Stella au Fatma...Yupi mwenye cheti cha Ndoa na Ndugai..Je Fatma alifunga Ndoa kisheria na Ndugai au walikuwa wanaishi pamoja tu Kama mahawara..Je Ndugai ameshawahi kuvunja Ndoa ya kwanza na bi Stella kisheria...Kama hapana basi Sheria ifuate mkondo wake..Mke wa kwanza ndiye mke halali wa Ndugai
Nimefuatilia nimeshindwa kujua kwanini bunge limemtambua mke wa pili na kumuacha mke wa kwanza ambaye ndiye alifunga Ndoa na marehemu..Je Spika ambaye ni mwanasheria hakulifahamu hili...au Kuna Jambo lingine hatulijui tukaye kimya..Inabidi bunge watuambie Watanzania kwanini bunge halijamtambua mke mwenye cheti cha Ndoa(kulingana na maelezo aliyotoa mwenyewe-huyo mke alipohojiwa na kituo kimoja cha habari) likamtambua mke wa pili.
Maisha ya watu hayo! Unajua kisa chakutengwa? Na kama alitengwa mmewe akiwa hai iweje sahizi?
kama ni sheria inabidi ipitiwe upya haifai. Kwa hiyo na wake za Rais au ??MKe wa spika anatakiwa kuendelea kulipwa posho mpaka mwiho wa maisha yake.
Je wote wawili watakuwa wanalipwa?
Faru Job alikuwa na mihasira ya kifalafala sana kumbe stress za mambo ya kifamilia kutokukaa sawa; but vyombo sijui vinafanyaje kazi siku hizi, mtu familia imemshinda anapewa mhimili muhimu kama Bunge aongoze kweli???Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubinadamu.
Pia nawapa pole wanafamilia ndugu na jamaa kwa msiba huu mzito , Mungu akawe mfariji wenu .
Kama ana watoto wakubwa, wasomi kutawaka moto.
Huyo mdogo anweza kuishia kwenye showoff
Mi mbona pangechimbikaMke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubinadamu.
Pia nawapa pole wanafamilia ndugu na jamaa kwa msiba huu mzito , Mungu akawe mfariji wenu .
Kuna kama evangelical na huyu jamaa yako, wanakaza fuvu ati mke mkubwa! Unajua kwanini waliachana? Mtu nipo mzima hatupo wote, nikishakufa ndipo unajisogeza. Ujombani unaoneshwa na mama yako.
Marehemu kabla hajafa kasema huyu ndiye mke wake kipenzi! Wewe ni nani kumchagulia leo hii mke. Cheti cha ndoa ni karatasi ile! Tuache ushabiki wa kijinga. Mke ni yule anayekuhudumia kike
Hasira za nini? Mchezo huu hautaki hasira. Consummation of the marriage unaifahamu. Utathibitishaje kuwa mtu ni mke wake bila hiyo kitu. Natamani kujua kama wewe ni Me au Ke maana kama ni Ke, nakusamehe ila kama ni Me, big noWewe mjinga na mpumbavu cheti cha ndoa sio karatasi ya kawaida .
Wewe mpumbavu ukimuona mwanamke hutakiwi kumuacha bila kufata taratibu za kupatiwa hati ya talaka.
Wewe ni mmoja wapo wa wajingawajinga ambao hamuelewi hata misingi ya ndoa halafu unaweza kukuta eti lina mke kabisa pumbavu zako
Kama watoto wa mke mkubwa walihudhuria hata mama yao angekuwepo tu. Sidhani huyo mama anawaza Mali. Angekuwepo tu kuwafariji wanae waliofiwa na baba yao. Mtoto akilia pembeni anamuona mama anapata nguvu. Ni ushamba, chuki, umwamba, uroho, ubabe kumtenga. Sababu akiamua kudai Mali ikiwa sheria inampendelea hata asipohudhuria msiba atapewa tu.Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu mke mkubwa ametengwa katika Msiba je katika Mali itakuaje?.
Hayo mafao na benefits nyingine anabidi na Huyo mke mkubwa kupata.
Hizi sheria lazima zizingatie utu na ubinadamu.
Pia nawapa pole wanafamilia ndugu na jamaa kwa msiba huu mzito , Mungu akawe mfariji wenu .
Wanaume wengi wakipata pesa na umaarufu wanawaacha wake zao walioanza nao maishaNarudia kusema mara nyingi wanaume tunawatupia lawama kina mama lakini
Mfumo wa maisha sehemu kubwa tumeharibu sisi wenyewe....
Huyo sio wa kwanza kuwa na mke za ya mmoja,, Ila ukishkndwa kuweka misingi ya familia yako kama baba.....
Matokeo ndo km haya,,
Upuuzi mtupu watajuana wenyewe khery yao wana Mali wakashindwa kuweka miongozo, je mimi niuchape sasa