evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Hasira za nini? Mchezo huu hautaki hasira. Consummation of the marriage unaifahamu. Utathibitishaje kuwa mtu ni mke wake bila hiyo kitu. Natamani kujua kama wewe ni Me au Ke maana kama ni Ke, nakusamehe ila kama ni Me, big no
Swali gani hilo kwangu.
Unawezaje kuleta hoja hiyo kwa watu ambao wamezaa watoto.
Hata hujui kitu wewe unaokoteza mambo hata hujui yanatumika kwenye muktadha upi .
Na hiyo ishu unatumika Mara nyingi kudai talaka let's say mwanaume ambaye hadindishi kamuoa mwanamke.
Sasa baada ya ndoa mwanamke akitaka tendo mwanaume akishindwa kumpa ,huyo mwanamke anaweza kwenda mahakamani kudai kwamba ndoa haijakamilika mwezangu hajawahi kuniingilia .
Sasa hapo mahakama itachunguza na kutafuta tatizo ikigundulika kweli jamaa hajawahi kumuingilia na hawezi ndoa inavunjwa.
Sasa hiyo ishu inaingiqje kwa ndugai na stela ambao walioana wakazaa watoto sijui watatu halafu ndugai akamtelekeza .
Wewe hujui hata unaloongeq