Nitumie mbinu gani kumhalalisha kuwa mke mdogo?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Imani yangu, inaniruhusu kuwa na mke mmoja tu. Lakini kutokana na uumbaji wa Mungu, nimejikuta kutamani tamani sana wanawake wazuri wazuri ninaokutana nao huko duniani.

Hii imepelekea kuwa na watoto hapa na pale, ingawa sijutii kuwa na watoto 15+, kwa sababu najua hawa watakuwa faraja pale uzeeni nitakapohitaji kuwa na watu wakupiga nao stori za hapa na pale huku tukipata kahawa chungu.

Kati ya hao niliozaa nao, kuna mmoja moyo umempenda zaidi, muda wote nataka niwe nampiga shoo tu.

Kutokana na uzuri wake nakuwa simchoki kabisa, na nimejikuta kutaka kuwekeza kwake zaidi.

Ni binti aliyepanda hewani kunizidi, umbo namba nane, nywele ndefu, sura ya kuvutia, ngozi inayoshawishi.

Kutokana na utamu alionao, natamani kupitia kwake nipate ata watoto 8 ili kukuza ukoo wa equation x.

Yeye kuhusu mimi, hana shida, anachohitaji tu ni kumtimizia mahitaji yake kama mke.

Wakuu, nifanyeje? kumuacha siwezi na natamani aendelee kuwa wangu.

Muonekano wake ni kama huyu kwenye picha, nipeni ushauri.

leo3.jpg
 
View attachment 3665437​
Titi hili 😍
 
Imani yako ni ipi
 
Uje nikutengenezee na cheti cha ndoa kabsa mkuu
 
Back
Top Bottom