Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #41
Mapori yako mengi huku, ni kulima tuHakuna uwezekano ndoa ya kwanza ikaendelea ukiongeza mke wa pili
Kwenye Ukristo ndoa huwa ni moja pekee
Hata hivyo umesema huyo wa pili ndiyo umempenda sana kwasasa, ila nikukumbushe hata mkeo ulimwona mrembo mno mwanzoni
Kwahiyo hata huyo wa pili pia utamchoka in future
Nje ya mada; Unao Uchumi wa kuweza kutunza na kuwalea hao watoto 15 ama unatumia kauli mbiu kwamba "Riziki ya mbwa iko miguuni pake"?🤪